Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta mbinu za kumdanganya Rais wetuKASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Wapo waliochomwa mkatukanaaaaa mpaka basi.Wa kuwajibika ni aliyeviingiza kinyume cha sheria na utaratibu...
Ni kama kujenga ktk hifadhi ya barabara...
Kampuni iliyoleta vifaranga itafikishwa mahakamani kwa kuleta vifaranga bila kufuata utaratibu na italipia gharama zote za kuteketeza vifaranga hivyoKASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Naaam
Umeshindwa kupata majibu hapo juu? Umekaa kubishana! Kichwa hakitaki kuelewa kufunguka, ondoa upofu kichwaniNaaam
Weka hoja
Nchi ina mambo sana Mungu tusaidieKASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Kumbuka kuna vifaranga wengine 50,000 wiki chache zimepita nao wamechomwa moto Moshi na mwekezaji kwa kukosa soko, wao wanauza 1,800 wale wa ubelgiji wanauza sh 700 kwa sababu hawalipii ushuru wowote, kodi wala kibali chochote haya hayasemwiWale wa Arusha Magufuli was heartless utafikiri yeye ndio aliwasha kiberiti kuwachoma. Sahizi bibi Tozo yeye kawaacha wajifie na hamna kitu mnasema. Tena hawa wa sasa ni 6 times wale wa Arusha
Wamejikausha kabisa yani, hii nchi ukiwa Raisi ni kuitwanga Nuclear tu kisha unaleta diaspora waje kuanzisha maisha upya.Kumbuka kuna vifaranga wengine 50,000 wiki chache zimepita nao wamechomwa moto Moshi na mwekezaji kwa kukosa soko, wao wanauza 1,800 wale wa ubelgiji wanauza sh 700 kwa sababu hawalipii ushuru wowote, kodi wala kibali chochote haya hayasemwi
Hivi kuna ndege ya kimataifa itapakia mzigo usio na kibali?Wa kuwajibika ni aliyeviingiza kinyume cha sheria na utaratibu...
Ni kama kujenga ktk hifadhi ya barabara...
Serikali: Julai 30 mwisho wa Uingizaji wa vifaranga vya Kuku nchini
Serikali ya Tanzania imesema, haitaruhusu kuingiza vifaranga vya kuku nchini na haitatoa tena vibali vya kuingiza vifaranga hivyo kuaniza Julai 30, 2022. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Jumamosi Julai 23, 2022 imesema Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema...www.jamiiforums.com
Elezea ulichoelewa na siyo kubananga kama kuku asiye na kuchwaUmeshindwa kupata majibu hapo juu? Umekaa kubishana! Kichwa hakitaki kuelewa kufunguka, ondoa upofu kichwani
Vibali wanavyo vya Mamlaka za Ubelgiji kuwaruhusu kusafirisha vifaranga kutoka kuja Tanzania. Hawana vibali vya Serikali ya Tanzania kuingiza vifaranga nchini Tanzania acha ujinga wa kufikiri kutumia makalioHivi kuna ndege ya kimataifa itapakia mzigo usio na kibali?
Tumieni hata makalio kufikiri kidogo.
Wazungu wako makini sana hawawezi kubeba mzigo wenye mashaka ya wazi
Maswali ya kijinga kabisa mara ngapi madawa ya kulevya yanakamatwa Airpot yalipandaje Ndege?Hivi kuna ndege ya kimataifa itapakia mzigo usio na kibali?
Tumieni hata makalio kufikiri kidogo.
Wazungu wako makini sana hawawezi kubeba mzigo wenye mashaka ya wazi
Mtu anayefanya kazi za usafirishaji na sio mara ya kwanza lazima anajua utaratibu.Vibali wanavyo vya Mamlaka za Ubelgiji kuwaruhusu kusafirisha vifaranga kutoka kuja Tanzania. Hawana vibali vya Serikali ya Tanzania kuingiza vifaranga nchini Tanzania acha ujinga wa kufikiri kutumia makalio