Kashfa ya vifaranga kufia Airport hadi sasa hakuna wa kuwajibika?

Kashfa ya vifaranga kufia Airport hadi sasa hakuna wa kuwajibika?

Mtu anayefanya kazi za usafirishaji na sio mara ya kwanza lazima anajua utaratibu.
Fikiri nje ya box wewe tumbili mwenzangu.
Hapa rushwa ilitakiwa tu
Koma wewe mimi sio Kafulila.
 
Maswali ya kijinga kabisa mara ngapi madawa ya kulevya yanakamatwa Airpot yalipandaje Ndege?
Madawa ya kulevyo huwa yanafungwa mafurushi makubwa ya kuonekana?
 
KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.

Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Watu wa CCM hawana utamaduni huo
 
Back
Top Bottom