R Rege Senior Member Joined Jul 9, 2022 Posts 117 Reaction score 153 Jan 3, 2023 #21 Glenn said: Mtu anayefanya kazi za usafirishaji na sio mara ya kwanza lazima anajua utaratibu. Fikiri nje ya box wewe tumbili mwenzangu. Hapa rushwa ilitakiwa tu Click to expand... Koma wewe mimi sio Kafulila.
Glenn said: Mtu anayefanya kazi za usafirishaji na sio mara ya kwanza lazima anajua utaratibu. Fikiri nje ya box wewe tumbili mwenzangu. Hapa rushwa ilitakiwa tu Click to expand... Koma wewe mimi sio Kafulila.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jan 3, 2023 #22 Rege said: Maswali ya kijinga kabisa mara ngapi madawa ya kulevya yanakamatwa Airpot yalipandaje Ndege? Click to expand... Madawa ya kulevyo huwa yanafungwa mafurushi makubwa ya kuonekana?
Rege said: Maswali ya kijinga kabisa mara ngapi madawa ya kulevya yanakamatwa Airpot yalipandaje Ndege? Click to expand... Madawa ya kulevyo huwa yanafungwa mafurushi makubwa ya kuonekana?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jan 3, 2023 #23 Rege said: Koma wewe mimi sio Kafulila. Click to expand... Basi wewe fisadi papa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jan 3, 2023 #24 saidoo25 said: KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii. Au ndio ule usemi na hili nalo litapita? Click to expand... Watu wa CCM hawana utamaduni huo
saidoo25 said: KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii. Au ndio ule usemi na hili nalo litapita? Click to expand... Watu wa CCM hawana utamaduni huo