Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenipa jibu kwenye uzi wangu kwa hii quoteKwa hapo nilipo-bold, unaamaanisha nini mkuu?
By the way, umenikumbusha uzi ufuatao wa Tumia akili
Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...www.jamiiforums.com