Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

Nchi yetu Tanzania ukiwa mkatili na ukawa upande wa CCM unaiweka serikali mfuko wa shati.
 
Ujanja wote mpaka sasa sijapata connection

Ova
 
Nimewahi kuwa karibu kibiashara na Aeshi pamoja na mbunge wa Gairo mh. Shabiby, hawa watu ni wachafu sana na wanamanyanyaso sana hasa kwa ngozi nyeusi, kuna muda uwa nawaza nchi hii hata ichi kitu kinachoitwa usalama wa taifa kina manufaa gani?!! Watu hawa hawakustaili hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi!! Wana uchafu mwingi sana, wana tabia chafu zote za kimafia, ukwepaji kodi!,ubakaji, ulawiti, ubabe, na kila sifa chafu!!
Viongozi wa maeneo hayo kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mikoa, sumbawanga na Gairo wanazo taarifa zao, ila cha kuumiza zaidi hawawezi kuchukua hatua zozote dhidi ya watu hawa, kwasababu wana pesa na ngozi nyeusi tunavyopenda shortcut na rushwa uwezi kusikia wamefanywa lolote.
Na kwa vile wanaongoza jamii zenye elimu duni,uvivu na umaskini,wananchi wanakuwa hawana la kufanya zaidi ya kunungunika tu!!!
Mh. Kikwete kwenye utawala wake wa awamu ya nne,kawalea sana hawa watu, pamoja kuletewa taarifa zao juu ya mambo yao ya umafia na uzandiki!! Hakuna hatua zozote alizochukua kuhusu watu hawa!!
Kuna mambo sikubaliani na Mh. JPM. Ila kwa kweli nchi ilipokuwa imefikia acha majizi, majangili yanyooshwe tu, tusiyaonee huruma, hasa hawa watu waarabu, wahindi ni mafia sana, kwenye ukwepaji kodi, ujangili, ujambazi, uuaji, ubakaji, ulawiti, na uonevu wa kila namna hasa kwa ngozi nyeusi,na makamanda wa polisi wapo radhi kumkandamiza mweusi mwenzake kwasababu ya tumbo!! Ujinga mtupu!!
 
Nadhani pia huyu ndie mbunge anayetumia vyeti vya kugushi kama mkulu alivyowahi kusema siku ya kuwaapisha wasaidizi wake
 
Sio tu kodi bado ana tuhuma za koneksheni
 
Pia kulikuwa na Saidi Nchambi hawa waarabu/wahindi koko wanakimbilia ubunge ili kuficha maovu yao, Nchambi alishikwa na bunduki za kuwindia tembo,kesi yake hata ilipoishia ni kama mchezo wa kidali po,pia hili genge linatakatisha pesa kwa kujifanya wafanyabiashara halali kumbe ni mafia tu.
 
Shortcut ni tatizo!! Nakupa ukweli Nchi hii hakuna taasisi imara ya umma, ambayo inafanya kazi kwa uaminifu na maslahi ya nchi!! Si Vyombo vya ulinzi na usalama!! Si Vyombo vya kutoa haki!! Si Vyombo vya kutunga sheria!! Watu wako bize na matumbo yao, ndio maana unaona mh. JPM anapata tabu sana kunyoosha Nchi, manyangau ni wengi sana, wako kote kote hadi ndani ya vyama vya siasa, hadi taasisi za kidini, usipumbazwe na wanavyopiga mayowe sijui, wapinzani, wala usiwaamini hawa wanaovaa makanzu na vikofia kichwani au awa wa misalaba inayoning'inia kifuani!!! Hakuna kitu kabisa!! Nchi hii imevurugwa na wanafiki na waroho!!
Mh. Jk alikuwa anapewa taarifa zote kuhusu uyo Nchambi, Shabiby, Aeshi na manyangau mengine lakini hakuna hata hatua moja aliyokuwa anachukuwa, harafu leo kuna watu wanamlilia eti alikuwa bora!!
Kuna kipindi singasinga wa IPTL ndio alikuwa mfadhili wa miradi ya polisi, uku anaitafuna nchi kwa ufisadi, Takukuru walikuwa wanajua, ofisi ya DCI walikuwa wanajua, idara za usalama walikuwa wanajua, ila kama kawaida ya ngozi nyeusi, walikuwa wanakula na kucheka nae ili mradi wanapata chochote kutoka kwa hao manyang'au!! So hakuna mwenye uchungu na nchi hii,muone mtu kama mh. Mwigulu uyu yupo karibu sana na manyang'au wengi, lakini ukimuona anavyo msifu Mh. JPM unaweza kudhani ana mpenda kweli, kumbe ni kupigania tumbo tu. Watanzania wengi hasa ngozi nyeusi tumelala, tuna uvivu, hatujitambui kuwa nchi ni yetu hii,tumebaki kushangilia ujinga tu.
 
Narudia tena hakuna ngozi nyeupe,sijui mhindi,mwarabu na wengine wengi hao wanaojiita wafanyabiashara Wakubwa sijui wanaoipenda CCM wengi wao Wapo humo kuficha maovu yao tu,ukwepaji kodi wao ndio wa kwanza.Rushwa kwa Ma RCs,DS, Wakurugenzi,watu wa Uhamiaji,Watu wa NSSF,Watu wa NEMC,Watu wa TBS sijui nini hao ndio watu wa KWANZA kuwahonga.Nchi hii Kuna maouvu mengi Sana.Naimani ipo Siku Viongozi au watu Waliopewa dhamana watauvaa uzalendo na Nchi hii kuwa ya wote.Kuna watu wananyanyasika hii Tanzania yetu nyie acheni tu wakuu.

Mkuu umeongea ukweli mtupu asee
 
Sikuwepo kipindi cha Tanu kushika hatamu lakini nilivyohadithiwa kuna viongozi wengi hawana sifa ya kushika madaraka kwa viwango vya Tanu ya Nyerere.....kashfa ilikuwa inatosha....iwe umefanya au hujafanya
 
Mkuu msumali umetua utosini! Umenigusa hisia hadi nalia! Akina Hilal, Salum Likindi walikuwa Shinyanga wakitafuta almasi> Walikuwa miungu watu! Walimrubuni binti mmoja aliyekuwa anasoma chuo cha afya kolandoto wakambaka na kumlawiti na mwishowe wakamuua kwa kumwingizia miti sehemu nyeti! Kesi ilichukua siku 5 tu na wakaachiwa baada baba ya mmiliki wa kisima cha mafuta huko uarabuni kutua na kumwaga pesa kama mchanga! Dr mmoja aliyejulikana kama Haraka alihongwa akatoa ripoti ya kifo kuwa binti alikuwa na malaria ya kichwani. Akageuka tajiri ghafla huyu AMO.
Hivyo ninakubaliana na wewe suala ni watanzania wote wengine njaa, wivu, ufisadi, basi magonjwa mtambuka! Magufuli is just another crook taking advantage of the situation!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…