Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

Sikuwepo kipindi cha Tanu kushika hatamu lakini nilivyohadithiwa kuna viongozi wengi hawana sifa ya kushika madaraka kwa viwango vya Tanu ya Nyerere.....kashfa ilikuwa inatosha....iwe umefanya au hujafanya
Utasikia mwenyekiti wa ' kijani' anatamba eti tumefanya uchambuzi wa kutosha kuwapitisha hawa kuwa wagombea Ubunge wetu! Kumbe vetting ililenga wawili watatu ambao ana bifu nao tu!
 
Back
Top Bottom