Kashfa zinazomkabili Mhe. Aeshi Mbunge wa CCM Sumbawanga Mjini

upo sahihi lakini usimlaumu JK, nataka nikuhakikishie kwamba hata wewe hapo ukipewa urais sasa hivi huwezi kufanya hilo.
Dunia nzima,nchi zote kuna watu hawagusiki kabisa hata Idd amin alikuwa anawaogopa kuna baadhi ya watu Uganda licha ya kuwa alikuwa ni rais, yani kama ulivosema tu kwamba kila kona kuna “uchafu” na ukimshughulikia mmoja basi utafuatwa na wengine na unaweza kuuwawa, ndio maana Jiwe anatembea na ulinzi mzito na amewahi kukili adharani kwamba kuna mambo hawezi kuyafuatilia kwa kusema hawezi kufukua makaburi
jiwe amewahi hadi kusema ana risk maisha yake sana, ki ufupi tu mkuu tunapaswa kuwa na mfumo imara wa kushughulikia watu wachafu sio washighulikiwe na “mtu” ,hata kwenye baraza la jiwe sio kila mtu ni msafi
 
Yaani huyu mtu kafanya vituko vyote hivi na bado tu serikali inamwachia huru? Kabaka mwanafunzi na muhindi eti bado tu serikali inamwachia bila kumkata mboo na kumshikisha adabu, serikali mpo wapi? Sitaki kuamini kama serikali ya haki ya Magufuli iko kimya kwa makusudi na kumwacha jamaa anatamba tu mitaani.
 
Kabaka mwanafunzi na muhindi eti bado tu serikali inamwachia bila kumkata mboo na
Nasikia eti kambaka na mbunge mwenzie🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🤪
 
nakumbuka wakati nikiwa Grade Six mwaka 2004 (alikuwa na miaka 13) baada ya kuwa amefanya biashara ya gari na baba Aeshi alikuja nyumbani na kujifanya alikuwa anafuata kadi ya gari. Ni hapo ndipo alipoanza kunitongoza
Daaaah!!🤬🤬🤬
 
Reactions: BAK
Upo sahihi kabisa, hii nchi ina mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…