Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Jun 10, 2013 #1 Nimekutana na habari huko facebuk kwamba msanii wa maigizo ajulikanaye kwa jina la kashi amefariki dunia,rest in peac
Nimekutana na habari huko facebuk kwamba msanii wa maigizo ajulikanaye kwa jina la kashi amefariki dunia,rest in peac
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Jun 10, 2013 #2 Kashi? Si ameolewa juzi tu hapa.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Jun 10, 2013 Thread starter #3 Ndo hvyo kafarki mda huu muhimbili
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Jun 10, 2013 #4 flora msoffe said: Ndo hvyo kafarki mda huu muhimbili Click to expand... Jamani kama kweli pole zake.
flora msoffe said: Ndo hvyo kafarki mda huu muhimbili Click to expand... Jamani kama kweli pole zake.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jun 10, 2013 #5 R.I.P Kashi
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,083 Jun 10, 2013 #6 Madame B said: Kashi? Si ameolewa juzi tu hapa. Click to expand... ndio yeye jina lake ni Jaji Said,mwenyej wa lind mjin alituongoza kucheza halaiki sabasaba kitaifa 1990 enzi ya chama kushika hatamu kalikua ka beauty kabla ya mwili kuwa wa kidada wa mjin. RIP Jaji msinjahili itaku miss
Madame B said: Kashi? Si ameolewa juzi tu hapa. Click to expand... ndio yeye jina lake ni Jaji Said,mwenyej wa lind mjin alituongoza kucheza halaiki sabasaba kitaifa 1990 enzi ya chama kushika hatamu kalikua ka beauty kabla ya mwili kuwa wa kidada wa mjin. RIP Jaji msinjahili itaku miss