Kashi

Kashi

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317
Nimekutana na habari huko facebuk kwamba msanii wa maigizo ajulikanaye kwa jina la kashi amefariki dunia,rest in peac
 
Kashi?
Si ameolewa juzi tu hapa.

ndio yeye jina lake ni Jaji Said,mwenyej wa lind mjin alituongoza kucheza halaiki sabasaba kitaifa 1990 enzi ya chama kushika hatamu kalikua ka beauty kabla ya mwili kuwa wa kidada wa mjin. RIP Jaji msinjahili itaku miss
 
Back
Top Bottom