Hata mimi nimekuwa najiuliza sana. Marinda nakumbuka nilikuwa fansion flani ya kushona nguo lkn hivi karibuni hili neno kufumuliwa marinda sijui linahusika vipi hapa. Duh waswahili bwana!!!!Kufumua "Marinda" ndo kufanyaje?
Kuna wanaume ni hopeless kabisa...! Kwanza inakuwaje upo chumbani na dem tena mke wa mtu then watu wakufumanie ukiwa uchi! Mi nakulaga mke wa mwanajesh flan nikiingia naye sehem kwa nje Noah inakuwa imepaki washkaj wangu wanapata bia mbili tatu incase of anything tuko pamoja, pili sifungui mlango mtu yeyote akigonga na sichomoi ufunguo kwenye kitasa. Hata uvunje mlango utakuta nimevaa na nimejipanga, na nikiingia ndan lazima niingie na vinywaj vya chumba yan lazima ukiingia tupambane. Hayo ndio maisha yangu na marafiki zangu wake za watu tunawafumua na mme akijipendekeza naye lazima akae.
Umetisha mkuu ila kumbuka kuna wababe zaidi yako .......
Duc in Altum
Kaka kama unakwenda vitaniKuna wanaume ni hopeless kabisa...! Kwanza inakuwaje upo chumbani na dem tena mke wa mtu then watu wakufumanie ukiwa uchi! Mi nakulaga mke wa mwanajesh flan nikiingia naye sehem kwa nje Noah inakuwa imepaki washkaj wangu wanapata bia mbili tatu incase of anything tuko pamoja, pili sifungui mlango mtu yeyote akigonga na sichomoi ufunguo kwenye kitasa. Hata uvunje mlango utakuta nimevaa na nimejipanga, na nikiingia ndan lazima niingie na vinywaj vya chumba yan lazima ukiingia tupambane. Hayo ndio maisha yangu na marafiki zangu wake za watu tunawafumua na mme akijipendekeza naye lazima akae.
Duc in Altum
Pamoja na kwamba hii ndio inaonekana adhabu yenye afadhali hasa kwasababu kuna watu wanafumuliwa hata na majambazi na baadae wanarud kwenye hali ya kawaida ila ni fedheha kubwa, unaweza kukubali leo kesho ukanywa sumu. Ni vyema kujipanga sana ukiamua kula mke wa mtu na ukifumaniwa bas upambane sana liwalo liwe ila katika hali ya kupambana.Hahaaa yaani hapo wacha tu nifumuliwe marinda
Ujue siku izi kuna wanawake wanajipanga na waume zao wajidai wanakufumania alafu wanakudai pesa nyingi juz juz jamaa yangu kakutwa wamechukua milion nane na bado wamemtoa kwenye gazet la uwazi (wasomaj wa ilo gazet wanajua ishu iliyotokea Kibaha) so lazima ujipange.Kaka kama unakwenda vitani
aache upumbavu awaachie jamaa watatue linda af hatorudia tena akikumbuka jinc walivyompumpKuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.....washikaji tukimshauri anatuona maboya.... sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi arobaini jamaa katika mishe mishe zake akazama na mke wa mshikaji mmoja gesti wa hapa mtaani kwetu kumbe jamaa mwenye akawa ameshapata ramani nzima kuwa jamaa anaenda kumaliza mke wake.......mshikaji wetu akazama na mke wa jamaa kama walivyopanga....aise kumbe mwenye mke alijipanga kufanya fumanizi jamaa mwenye mke akachukua rafiki zake huko sijui aliwatoa wapi wakamtimbia mshikaji wetu gesti na kweli wakamkuta jamaa anata kuanza shuguli.....wakamkamata mshikaji wetu wakamfunga kama alivyozaliwa wakamwambia achague adhabu mojawapo kati ya zifuatazo 1.kukatwa mashine(kiungo cha uzazi) 2.kutobolewa macho 3kufunuliwa marinda na njemba hizo zote alizokuja nazo jamaa.......ila nasikia mshikaji akachagua kutobolewa macho....ninavyo wapa hii information mshikaji yuko hospitali mahututi pia amepoteza macho yake sasa swali linarudi kwako ingekuwa wewe ungechagua adhabu gani kati ya hizo tatu........
Kufumua Meno ya kisoda/kupigwa tigo/ ku fill the blankKufumua "Marinda" ndo kufanyaje?
HahahahahhaahHahaaa yaani hapo wacha tu nifumuliwe marinda