Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Macho nayataka,kipande cha nyama ngumu nakiogopa japokuwa nina cha kwangu,pia wakikikata heshima ntaiotoa wapii?ningewaomba waongeze option moja..“KIFO" kama ingewezekana.
 
Kwa hiyo ndo umekuja kunitishia nimuache mkeo? Jet Li is My Tai Chi master!
 
Kufumua "Marinda" ndo kufanyaje?
Hata mimi nimekuwa najiuliza sana. Marinda nakumbuka nilikuwa fansion flani ya kushona nguo lkn hivi karibuni hili neno kufumuliwa marinda sijui linahusika vipi hapa. Duh waswahili bwana!!!!
 
Sasa ameshindwaje kuchagua adhabu wakati yuko mahtuti hospital?
 
Hata mimi nimekuwa najiuliza sana. Marinda nakumbuka nilikuwa fansion flani ya kushona nguo lkn hivi karibuni hili neno kufumuliwa marinda sijui linahusika vipi hapa. Duh waswahili bwana!!!!
hiyo ni tafsida mkuu....
 
Kuna wanaume ni hopeless kabisa...! Kwanza inakuwaje upo chumbani na dem tena mke wa mtu then watu wakufumanie ukiwa uchi! Mi nakulaga mke wa mwanajesh flan nikiingia naye sehem kwa nje Noah inakuwa imepaki washkaj wangu wanapata bia mbili tatu incase of anything tuko pamoja, pili sifungui mlango mtu yeyote akigonga na sichomoi ufunguo kwenye kitasa. Hata uvunje mlango utakuta nimevaa na nimejipanga, na nikiingia ndan lazima niingie na vinywaj vya chumba yan lazima ukiingia tupambane. Hayo ndio maisha yangu na marafiki zangu wake za watu tunawafumua na mme akijipendekeza naye lazima akae.

Duc in Altum
 
Umetisha mkuu ila kumbuka kuna wababe zaidi yako .......

Kaka kama unakwenda vitani
 
Hahaaa yaani hapo wacha tu nifumuliwe marinda
Pamoja na kwamba hii ndio inaonekana adhabu yenye afadhali hasa kwasababu kuna watu wanafumuliwa hata na majambazi na baadae wanarud kwenye hali ya kawaida ila ni fedheha kubwa, unaweza kukubali leo kesho ukanywa sumu. Ni vyema kujipanga sana ukiamua kula mke wa mtu na ukifumaniwa bas upambane sana liwalo liwe ila katika hali ya kupambana.

Duc in Altum
 
Kaka kama unakwenda vitani
Ujue siku izi kuna wanawake wanajipanga na waume zao wajidai wanakufumania alafu wanakudai pesa nyingi juz juz jamaa yangu kakutwa wamechukua milion nane na bado wamemtoa kwenye gazet la uwazi (wasomaj wa ilo gazet wanajua ishu iliyotokea Kibaha) so lazima ujipange.

Duc in Altum
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.....washikaji tukimshauri anatuona maboya.... sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi arobaini jamaa katika mishe mishe zake akazama na mke wa mshikaji mmoja gesti wa hapa mtaani kwetu kumbe jamaa mwenye akawa ameshapata ramani nzima kuwa jamaa anaenda kumaliza mke wake.......mshikaji wetu akazama na mke wa jamaa kama walivyopanga....aise kumbe mwenye mke alijipanga kufanya fumanizi jamaa mwenye mke akachukua rafiki zake huko sijui aliwatoa wapi wakamtimbia mshikaji wetu gesti na kweli wakamkuta jamaa anata kuanza shuguli.....wakamkamata mshikaji wetu wakamfunga kama alivyozaliwa wakamwambia achague adhabu mojawapo kati ya zifuatazo 1.kukatwa mashine(kiungo cha uzazi) 2.kutobolewa macho 3kufunuliwa marinda na njemba hizo zote alizokuja nazo jamaa.......ila nasikia mshikaji akachagua kutobolewa macho....ninavyo wapa hii information mshikaji yuko hospitali mahututi pia amepoteza macho yake sasa swali linarudi kwako ingekuwa wewe ungechagua adhabu gani kati ya hizo tatu........
aache upumbavu awaachie jamaa watatue linda af hatorudia tena akikumbuka jinc walivyompump
 
kuna mda kifo kinakuwa ndo pigo la mwisho ,..

bora kufa
 
Bora ugongwe tu,mbona mashoga wanapigwa?
 
Back
Top Bottom