Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Hivi marinda hawaumigi jmn,me dinfi tu likiwa gumu naumiaga had machozi sembuse dushe khaaaa
 
Hivi marinda hawaumigi jmn,me dinfi tu likiwa gumu naumiaga had machozi sembuse dushe khaaaa
Kuna wanawake kwa wanaume hizo ndio starehe zao. Ila mimi hapo nachagua kupambana. Chochote watakachofanya ni kwa lazima sio mm kukubali.

Duc in Altum
 
Kuna wanaume ni hopeless kabisa...! Kwanza inakuwaje upo chumbani na dem tena mke wa mtu then watu wakufumanie ukiwa uchi! Mi nakulaga mke wa mwanajesh flan nikiingia naye sehem kwa nje Noah inakuwa imepaki washkaj wangu wanapata bia mbili tatu incase of anything tuko pamoja, pili sifungui mlango mtu yeyote akigonga na sichomoi ufunguo kwenye kitasa. Hata uvunje mlango utakuta nimevaa na nimejipanga, na nikiingia ndan lazima niingie na vinywaj vya chumba yan lazima ukiingia tupambane. Hayo ndio maisha yangu na marafiki zangu wake za watu tunawafumua na mme akijipendekeza naye lazima akae.

Duc in Altum

Daah umetisha mkuu kwa gharama zote hizo.......elewa siku itafika hutaelewa kitakachosababisha kutokea kati ya hayo.........una mlinzi +mbwa nawe una bastola halafu unavamiwa
 
Nmeckitika Sana na kumuhurumia alie tolewa macho japo Ana hatia.
Nyie wananume kabla hujatoa adhabu za ivo fikiria wew ni msafi????
Hujawahi kabisa saliti ndoa yako?????
Kama Mke wako anakupenda kwann atongozwe akubali kukusaliti??????
Unatakiwa kumuonya anakuhusu kwanza yani mkeo.
Na kumpa mwenzio kilema cha macho bora angemkata hta mguu.
Hyo dhambi utaijutia milele, na huyo Mke ndo hakufai kabisa.
 
Daah umetisha mkuu kwa gharama zote hizo.......elewa siku itafika hutaelewa kitakachosababisha kutokea kati ya hayo.........una mlinzi +mbwa nawe una bastola halafu unavamiwa
Haitakuwa rahisi sana .

Duc in Altum
 
Ila Nilijifunza Kutoka Kwa Mamako Nilipomfuma Anafanyiwa Hicho Kitendo Hapo Jirani Na Mkabala Na Kwako Lugalo Na Wajeda Wenzio Kama Saba ( 7 ) Hivi. Nimekuvumilia Vya Kutosha Na Tusilaumiane. Na Kinachonishangaza WADAU WANAFIKI Humu Wameona Kabisa Nimetukanwa Halafu WAMENYAMAZA Lakini Najua Baada Ya Kumjibu Hivi Huyu POPOMA Kuna Watakaoibuka Na NINAWASUBIRINI Kwa HAMU MNO Ili Niwaunganishe Katika Majibu Yangu Niliyoyandaa.
Every action has reaction.n sisi tulikaa kimya tulijua mna utani.

Duc in Altum
 
Kuacha wake za watu ni ngumu sana maana wanajituma sana kitandani sio kama videm visivyoolewa.

Duc in Altum
 
Kuna video ilisambaa kwenye whatsup jamaa akifumuliwa marinda na njemba za kutosha gesti"Live bila chenga" labda mtoa mada umetoa huko..Hii ndio dawa ya wala wake za watu
Mke wa mtu sumu!!!
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.....washikaji tukimshauri anatuona maboya.... sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi arobaini jamaa katika mishe mishe zake akazama na mke wa mshikaji mmoja gesti wa hapa mtaani kwetu kumbe jamaa mwenye akawa ameshapata ramani nzima kuwa jamaa anaenda kumaliza mke wake.......mshikaji wetu akazama na mke wa jamaa kama walivyopanga....aise kumbe mwenye mke alijipanga kufanya fumanizi jamaa mwenye mke akachukua rafiki zake huko sijui aliwatoa wapi wakamtimbia mshikaji wetu gesti na kweli wakamkuta jamaa anata kuanza shuguli.....wakamkamata mshikaji wetu wakamfunga kama alivyozaliwa wakamwambia achague adhabu mojawapo kati ya zifuatazo 1.kukatwa mashine(kiungo cha uzazi) 2.kutobolewa macho 3kufunuliwa marinda na njemba hizo zote alizokuja nazo jamaa.......ila nasikia mshikaji akachagua kutobolewa macho....ninavyo wapa hii information mshikaji yuko hospitali mahututi pia amepoteza macho yake sasa swali linarudi kwako ingekuwa wewe ungechagua adhabu gani kati ya hizo tatu........
"...katobolewa macho kajikaza ki sabuni, na ameshabaki povu"
 
Back
Top Bottom