Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Haha ah aaah ah we jamaa unajiamini na wasela wako hao ipo siku mtataitiwa wasela mpk we mwenyewe hamchomoki ng'o.

Btw unapenda wake za watu? huoni kama unafanya dhulma kula visivyokuwa vyako?
Huyu jamaa ni mpuuzi kweli...anadhani ni jambo la kujisifia.......
Kuna ndugu yangu mmoja alikuwaga mbabe sana hapo mtaani kipindi hicho.....akawa anatembea na mke wa jamaa fulani hivi wa kizigua.....watu wakampa taarifa na akafumania lakini kutokana jamaa ana genge lake la wababe....wakamdhibiti jamaa na kumpa kipigo kikali sana....

Jamaa akaenda kwao Tanga....na baada ya mwezi majibu yakaonekana...yule mbabe akawa anawafuata watu mwenyewe wamuingile kinyume.....na kama akikosekana mtu anajiingiza vitu kwenye tundu yake mpaka hamu yake inamuisha....mpaka naandika hapa jamaa ni chizi mkongwe hapo kariakoo....
 
sifa mbaya sana ukiacha dhulma aliyoifanya kwa kuvamia halàal za watu, wanasema kilio cha aliyedhulumiwa huwa hakiendi bure. Huyu jamaa inabidi ajiangalie sana kwani kwa zama hizi za maradhi ni hatari ukiachilia hiyo sifa ya genge lake ipo siku yatamtokea puani.
 
Na pengine hata huko kuropoka kwake ni madhara ya huo ushenzi anaoufanya...
 
ah kudadek, bora niiname anikule 0715 maisha yaendelee bhna.
 
Jamaa atakuwa katobolewa macho na kafumuliwa marinda as well. Hawakumuacha hivi hivi.

Ukikamatwa hapo ni bora upigane na kufanya fujo za hatari ili angalau majirani waje kukuokoa.

Mke wa mtu ni sumu.
 
Mke wa mtu akishaanza kukuganda ni hatari, ni wasumbufu sana.
 
Hahahaa, mimi huwa naona mnajitapa bora mfe kuliko kutolewa marinda,mbona leo mnakimbilia kufirwa tena,lahaula...
Anaekimbilia kuliwa ni mzoefu,kaliwa utotoni katika michezo ya kombolela,nibutueeeee?
mpiganaji hapigwi risasi ya mgongo
 
Duh... Mke Wa MTU noma.
Ingawa huwa wana miss kutongozwa na kusifiwa!!
 
ingawa?????? Ebu rudia tena hiyo kauli....? nikukute kwa mke wangu utaniona bedui cku hiyo..
 
Back
Top Bottom