Me naamini mwishowe mtu anakojoa kwisha habari yake[emoji16][emoji16][emoji16]Utamu sio mchezo ukute huyo jamaa alipitiliza vituo kibao
Huyo lzm alikojoa [emoji23]Mimi jana nilipanda daladala na nikabahatika kupata sit asa pale kwenye korido alisimama jamaa na demu chaajabu yule demu akawa anamsogezea jamaa mk*ndu mshikaji
Mshikaji nayeye akawa anampelekea huku ananiangalia mimi, nilivyokaribia kushuka nikamtonya jamaa njoo ukae hapa me nashuka jamaa akakataa na akamwambia mtu aliyekua nyuma yake akae
Sijui huko mbele ilikuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye daladala kuna vioja sana.
Kila mtu aamini kimpango wake mkuuKuna kitu hamjakijua kuhusu muziki wa Injili kwenye gari. Wimbo wowote unaomtaja Yesu unamhusu kila mmoja. Yesu ni zaidi ya dini. Yesu ni wa wote, kwa nini mnataka kujitenga naye? Lazima muelewe hili, vinginevyo ni hasara ya milele.
Yesu anasema: "Mimi ndiye njia, na kweli na uzima; Mtu haji kwa Baba (Mungu) ila kwa njia ya Mimi" YOHANA 14:6
JESUS IS LORD!
Sawa kabisa. Ukitaka kujua raha ya Daladala zetu, nenda Ulaya ambako kila mtu yupo kimya ndani ya basi, anasoma gazeti, kitabu na kwa sasa wako too busy mitandaoni. Safari utaiona ndefu kweli kweli. Kwa mara ya kwanza utajisikia mpweke sana, lakini kadri siku zinavyosonga mbele utazoea na kuwa mmoja wa hao mazombie.Ukitaka uenjoy daladala upande zile zinazoenda au kutoka maeneo ya uswahililni. Kuna wakati zinakuwa na stori za kuchekesha hadi unasahau kama umebanwa na unasafiri kwa shida! Uwakute wamama/wababa wanatoka zao feri kuchukuwa samaki... wana maneno hao... utacheka tu... Nawapenda na kuwaheshimu sana waswazi, wako huru, wanaongea, wanatoa hisia zao, wameyakubali maisha yao..... watu poa sana... Ila ukijifanya wewe mkishua eti sijui wamekugusa na mashombo ya samaki, sijui umekanyagwa ukaanza kulalamika utajuta.... wana maneno ya shomboooo kama hao samaki....
All in all maisha ni mafupi na ni matamu sana... jitengenezee furaha yako mwenyewe!
Sawa mkuu ila ujue imeandikwa kuwa nyakati hizi za mwisho Injili ya Bwana Yesu itahubiriwa ulimwenguni kote ili iwe ushuhuda. Mwisho wa nyakati hautofika kabla ya Injili ya Kristo kuhubiriwa kwa kila mtu. Awe anataka ama hataki, atachapwa na hiyo Injili.Kila mtu aamini kimpango wake mkuu
Kuna kitu hamjakijua kuhusu muziki wa Injili kwenye gari. Wimbo wowote unaomtaja Yesu unamhusu kila mmoja. Yesu ni zaidi ya dini. Yesu ni wa wote, kwa nini mnataka kujitenga naye? Lazima muelewe hili, vinginevyo ni hasara ya milele.
Yesu anasema: "Mimi ndiye njia, na kweli na uzima; Mtu haji kwa Baba (Mungu) ila kwa njia ya Mimi" YOHANA 14:6
JESUS IS LORD!
Waislamu wanamhitaji Yesu na hata naye Yesu anawahitaji waislamu awaokoe. Karibuni kwa Bwana wa mabwana.Umewahi kupanda kwenye gari ukakuta mawaidha yamefunguliwa kwenye redio?
Bodaboda ndugu.Umenunua bodaboda au bajaji ?
Mkuu unamiliki gari aina gani?Kiukweli kutoka moyoni namiss sana daladala aisee. Longtime.
Umesahau kutaja bajaji au pikipiki MkuuMkuu unamiliki gari aina gani?
Mie leo hii hii nimepanda nikakaa siti ya wawili na li baba limoja sijui la wapi lile yani limetanua mamiguu yake mpaka kero
Kuna kitu hamjakijua kuhusu muziki wa Injili kwenye gari. Wimbo wowote unaomtaja Yesu unamhusu kila mmoja. Yesu ni zaidi ya dini. Yesu ni wa wote, kwa nini mnataka kujitenga naye? Lazima muelewe hili, vinginevyo ni hasara ya milele.
Yesu anasema: "Mimi ndiye njia, na kweli na uzima; Mtu haji kwa Baba (Mungu) ila kwa njia ya Mimi" YOHANA 14:6
JESUS IS LORD!
Bodaboda ndugu.
Nakuuliza kwa sauti ya chini lkn..... mbona hujaweka gari kwenye hiyo list yako?!!! Maana nilitaka nseme gari sema watu wataona huyu nshomile vepee.
Pia vile vile mtu akisema kamiss daladala ujue tu anausafiri mwingine private.
Hata mashekh pia wanaamin kama unavyoamini ww kua upo njia sahihiSawa mkuu ila ujue imeandikwa kuwa nyakati hizi za mwisho Injili ya Bwana Yesu itahubiriwa ulimwenguni kote ili iwe ushuhuda. Mwisho wa nyakati hautofika kabla ya Injili ya Kristo kuhubiriwa kwa kila mtu. Awe anataka ama hataki, atachapwa na hiyo Injili.
Yesu ni Bwana.
Huwa sijali khs dini ama dhehebu; ilimaradi tu nyimbo hizo zimataje Yesu kwa usahihi wake. Katika kicho!Umewahi kupanda daladala yenye redio iliyofunguliwa mawaidha ya dini nyingine au dhehebu tofauti na lako?
[emoji1787][emoji1787]Utadhani kaweka jiko la mkaa Kati Kati ya mapaja anaota moto