Kashikashi,vihoja,vituko na mizengwe ya kwenye dalaldala

Kashikashi,vihoja,vituko na mizengwe ya kwenye dalaldala

Kuna kitu hamjakijua kuhusu muziki wa Injili kwenye gari. Wimbo wowote unaomtaja Yesu unamhusu kila mmoja. Yesu ni zaidi ya dini. Yesu ni wa wote, kwa nini mnataka kujitenga naye? Lazima muelewe hili, vinginevyo ni hasara ya milele.

Yesu anasema: "Mimi ndiye njia, na kweli na uzima; Mtu haji kwa Baba (Mungu) ila kwa njia ya Mimi" YOHANA 14:6



JESUS IS LORD!
Acha bangi kijana uzi unahusu vituko vya kwenye daladala wewe sijui unaandika vitu gani, sasa hicho nacho ni kituko
 
Mkuu foleni nayo ni tatizo kwa mji kama Dar
Wengi wetu sikuizi stamina za miguu hakuna mtu anasimama pembezoni mwa siti uliyokalia kwakukulalia kabisa unajaribu kumsukuma kwa bega ila wapi mtu hasogei [emoji34][emoji34] mpk unamuuliza mkuu nikupakate au


Kingsmann
 
Acha bangi kijana uzi unahusu vituko vya kwenye daladala wewe sijui unaandika vitu gani, sasa hicho nacho ni kituko
Kula Injili mkuu, unaweza ukajikuta umepata neema ya wokovu kwenye daladala.

Maisha unayoishi yana mwisho. Na mwisho wa maisha hayo ni mwanzo wa maisha mengine mapya; ama ya raha ama ya tabu milele. Muda wa kufanya maamuzi ni sasa. Amua kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Saa ya wokovu ni sasa.


JESUS IS SAVIOR.
 
Back
Top Bottom