darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Acha bangi kijana uzi unahusu vituko vya kwenye daladala wewe sijui unaandika vitu gani, sasa hicho nacho ni kitukoKuna kitu hamjakijua kuhusu muziki wa Injili kwenye gari. Wimbo wowote unaomtaja Yesu unamhusu kila mmoja. Yesu ni zaidi ya dini. Yesu ni wa wote, kwa nini mnataka kujitenga naye? Lazima muelewe hili, vinginevyo ni hasara ya milele.
Yesu anasema: "Mimi ndiye njia, na kweli na uzima; Mtu haji kwa Baba (Mungu) ila kwa njia ya Mimi" YOHANA 14:6
JESUS IS LORD!