Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Video niyeye labda uliyoiona wewe sio ukiona jamaa wamevaa makirikiri kama ya jwtz ndio yenyewe
Wewe zi Zuzu kabisa sasa walioingia Saudi Embassy walikuwa na nguo za Jeshi kama hufuatilii habari za kimataifa kaa kimya tu siyo kulisha watu matango pori
 
Watu hawajiongezi wanakurupuka ..Hakuna video kilichokuwepo ni sauti tu na hata hiyo sauti iliyorekodiwa ni watu wachache sana waliyoisikia
 
niliiona hiyo video nikaifuta haraka saana maana si kwa ukatili huo
 
Mmmh, mwili umenisisimka baada yakusoma hii comment yako
 
Kunii
Wewe zi Zuzu kabisa sasa walioingia Saudi Embassy walikuwa na nguo za Jeshi kama hufuatilii habari za kimataifa kaa kimya tu siyo kulisha watu matango pori
Kuniita zuzu nawewe umevunja rekodi ya Guinness
 
Matukio kama ya Mawazo usukumani yanafanyika Sana na nimeyashuhudia na hayana uhusiano na siasa.
Japo kwa Alfonsi Mawazo sijajua source.
Huku usukumani kuuwana kwa mapanga ndio style yao na bahati mbaya Sana media hazifanyi coverage.
Kuna wakati mkuu wa wilaya moja niliyokuwepo aliomba aondolewe maana kwa wiki matukio ya mapanga kama manne hivi hutokea.
Ndugu zangu wasukuma sio watu wa kawaida kabisa na wakifanya hivyo wanaendelea na shughuli zao kama hawaoni vile.
 
Kweli kabisa Broh, unajua Kuna kale ka chuki wanasema cha "unini" sijui...? ila ukatili hatuzaliwi nao, mara ya kwanza kuona mtu aliechinjwa ni hapa hapa TZ,mara ya kwanza kuona mtu kachomwa moto yu hai ni hapa hapa TZ, mara ya kwanza kuona mtu kachunwa ngozi ni hapa hapa TZ,mara ya kwanza kuona mtu kagawanyishwa viungo vya mwili ni hapa hapa TZ..mara ya kwanza kuona mtu kazaa mtoto kenda mtupa chooni ni hapa hapa TZ...mara ya kwanza kuona mtu kanyofolewa macho usoni ni hapa hapa TZ,mara ya kwanza naona mtu kapigwa mkuki wa koo ukatokea upande wa pili ilikuwa kwenye muvi ila mara ya pili ni hapa hapa TZ...niendelee? Au mi sielewi maana sahihi ya UKATILI? Wakati makatili "waarabu" wanauana vibaya kwa propaganda tu za kutishiana "serikali na vikundi fulani fulani" sisi "wapole" TZ ni kwa tamaa wivu na uchawi tu[emoji848] huko afrika ya magharibi na ya kati uchafu unaofanyika halafu jitu linasimama kusema eti "weupe" sijui "waarabu" makatili...broh Mungu atusamehe tu kwa maana aliyeturoga nae kauliwa na "mwarabu" sijui[emoji855]
 
1. Kummiminia Tundu Lisu risasi 30

2. Kukata kichwa kwa shoka Alphonce mawazo

3. Kumsambaratisha matumbo Saudi mwangosi

4. Kumkata shingo mwenyekiti cdm USA liver Arusha

Nk nk

Tanzania ni zaidi ya kashogi
Labda hao sio binadamu kisa sio ccm.huu ujinga wa kumuona asie chama tawala si binadamy sijui utaaisha lini.na bahati mbaya hata mtukufu saaaanaaaa aliye inuliwa juuuuu tangu tanganyika iumbwe nae ana amini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…