Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatafuta bwana1. Kummiminia Tundu Lisu risasi 30
2. Kukata kichwa kwa shoka Alphonce mawazo
3. Kumsambaratisha matumbo Saudi mwangosi
4. Kumkata shingo mwenyekiti cdm USA liver Arusha
Nk nk
Tanzania ni zaidi ya kashogi
Video niyeye labda uliyoiona wewe sio ukiona jamaa wamevaa makirikiri kama ya jwtz ndio yenyewe
Anyway hata trump alisema juu ya kusikia sautiJaman tuwe tunajiongea kidogo inapotokea inshu kama hii.hapo mnaona kabisa kuna jamaa pembeni kashika video camera yeye ndo ana record tukio zima,wakati inshu ya kashogi ni saa yake ndo ime record sauti na wala sio video.iyo video mnayo nyinyi tu huku africa hata ikulu ya marekani na turkey hawana iyo video
Nirushie pm nioneBora hata wangempiga risasi
Haifai vipi wakati hajaionakumbe ndio maana mawigi kaogopa kuiangalia,,kasema video haifai haifai ...
ni yeye mkuu,,kumbuka alivyoingia walimvua nguo zake na kumvalisha mtu mwingine aliyeonekana akitoka ndio maana mgogoro ulipopamba moto kwamba kashogy hakutoka ubalozini baada ya kuingia saudia walitoa video ikionyesha mwanaume mmoja akitoka amevaa nguo zake ila watu walikataa kuwa sio yeye bali kavalishwa nguo zake,,hilo suruali alivalushwa tu na hao wauajiSio video ya kashoggi hiyo..na huyo sio yeye..that guy is millitary ukimuangalia vizuri unaona amevaa gwanda..Am sure hiyo ni clip ya nchi za uatabuni kwny machafuko huko..kati ya vikosi vya serikali na waasi..
mbona wanongea kama kispanish mkuu badala ya kiarabu?ni yeye mkuu,,kumbuka alivyoingia walimvua nguo zake na kumvalisha mtu mwingine aliyeonekana akitoka ndio maana mgogoro ulipopamba moto kwamba kashogy hakutoka ubalozini baada ya kuingia saudia walitoa video ikionyesha mwanaume mmoja akitoka amevaa nguo zake ila watu walikataa kuwa sio yeye bali kavalishwa nguo zake,,hilo suruali alivalushwa tu na hao wauaji
ilikua na heist ya haraka mno , kumbuka alikuja hapo kama 'zalula' , huo mda wa mashine haukuwepo maana angeweza kusepa na wangemkosaKama walikuwa wakitaka kumuua kwanini wasimchinje na machine jamani
Ukiangalia video ya kashogi wakati anachinjwa shingo na shoka alikuwa hatikisiki wala kuonyesha anapata maumivu makali (agony) pale walishamuua tayari sasa sijui walimuua kwa staili gani kwanza kabla ya kumchinja pole sana kashogi
Hatujui Ben yalimfika yapi kwenye mikono ya watekaji wake
Post #90!
!
Hiyo Video Ipo Wapi
Ndiyo mkome, kupenda mteremko..Aseee hawa sio watu nimeamini....na kile kijamaa kiarabu kirafiki changu nakipiga chini kuanzia dk hii[emoji22] [emoji22]
Tanzania hatujafikia huko ila tumuombe mungu tusifike ya kina kashogi video ya kashogi wakati anakatwa kichwa wakinamama wasiiangalie watablid bila kutarajia