Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Hahahaa umeona mkuu, kisa eti mweupe..
Usiende mbali hapo juzi juzi tu Afrika ya Kati wakati kuna mapigano ya Kidini niliona clip waafrika wanaua mtu wanamla nyama mbichi mbichi na kunywa damu, hapo Congo waasi nasikia wamewatafuna mbirikimo kama wanyama. Pia kila siku wanaua watu na kuwakata wanawake sehemu za siri na maziwa
 
Sio video ya kashoggi hiyo..na huyo sio yeye..that guy is millitary ukimuangalia vizuri unaona amevaa gwanda..Am sure hiyo ni clip ya nchi za uatabuni kwny machafuko huko..kati ya vikosi vya serikali na waasi..
 
Usiende mbali hapo juzi juzi tu Afrika ya Kati wakati kuna mapigano ya Kidini niliona clip waafrika wanaua mtu wanamla nyama mbichi mbichi na kunywa damu, hapo Congo waasi nasikia wamewatafuna mbirikimo kama wanyama. Pia kila siku wanaua watu na kuwakata wanawake sehemu za siri na maziwa

Aisee!
 
Huyu kashogi hakusoma alama za nyakati walahi, Au ndio kifo kilikuwa kinamwita na huku mapenzi yamepamba moto na bibie, pesa alikuwa nayo nyingi sana na mtoto wa mfalme ni mwendawazimu, ya nini kushindana naye walahi
Duh NACHAGUA KUISHI WALAHI
Ha ha ha! Mwana LIKE mwenzangu mbona unaogopa Kifo namna hiyo.?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Video ile haifai kuwekwa hapa. Imeniharibia siku yangu kabisa. Ila ukweli ni kuwa kashogi alishazimia kabla ya kukatwa ile shingo kwa shoka. Sababu ukiangalia wakati anakatwa utaona vidole vya mikono vinahisi kitu kisichokwaida. Vinafinya[emoji24][emoji24]
Duh
 
Ukileta umakumaku hiyo ndo pension yenyewe tena waandishi walivyo washenzi niko na MBS. Na wachinjwe tu mpaka akili ikae sawa!!
 
Ukileta umakumaku hiyo ndo pension yenyewe tena waandishi walivyo washenzi niko na MBS. Na wachinjwe tu mpaka akili ikae sawa!!

Mtu mzima jiheshimu kuongea lugha chafu kama hii unatia aibu na kinyaa!!!
Pata picha anafanyiwa hivyo baba yako mzazi msipende kujisahau na kujitoa akili dunia hii tunapita hakuna atakayeishi milele JITAMBUE
 
Ujinga mtupu,huu ushauri wapelekee waandishi wanaotumia kalamu zao kuandika ujinga kama huu ulioandika hapa. Acheni karma ifanye kazi mpaka akili zenu zikae sawa.Aibu kwa Online stranger??Unaleta busara uchwara!!!
 
Back
Top Bottom