Kasi internet ya Vodacom

Ni unlimited ila Unapata speed kubwa ambayo ukimaliza gb20. Kitakacho fatia ni speed ambayo download inakuwa ya kawaida ila youtube,mitandao ya kijamii inafanya vizuri.
Kwenye kudownload ndio kutakuwa low speed kama file la GB unaweza kuchukua masaa mawili.
 
Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
Voda GB 24 kasi kubwa then kina drop, Halotel GB 100 then kina drop, atleast Information za mwisho nilizoona ni hizo.

Speed ikidrop inadrop kweli probably chini ya 500kbps, japo kuna screenshot za voda kupita 500kbps na kuna feedback ya mdau Halotel kupanda hadi 2mbps.

Mara Mia utafute mtandao wa 70K upate angalau 500GB hadi unlimited. Niliskia Tigo line zao za router zinakubali kwenye simu pia.

Soma huu uzi wote kuna jamaa ka elezea vizuri Unlimited ya Halotel inavyofanya kazi, pia kuna screenshot ya Voda mwishoni.

 
Airtel ile ya 70k je unlimited?
 
Huduma kwa wateja moja ya kazi zao ni marketing hawawezi kamwe kukwambia 100% ukweli na kamwe hawaruhusiwi kuponda product zao wenyewe ndo maana ni muhimu sisi wateja tukapeana ukweli kuhusu hizi service.
Umejibu vyema.
 
Ninavyojua kwa Tanzania Vodacom ndio mtandao bora zaidi na ndio wenye speed ya uhakika
 
labda kama wamechange now, nilinunua, ni mwendo wa kobe, ila nunua na wewe upate experience
 
Kwenye intanet, anaanza Voda then wengine ndo wanafuata
 
Vodacom ikiisha GB 24 Kasi inapungua hadi 1mbps, halotel sasa hivi ikiisha GB 50 Kasi inapungua hadi 1.2mbps.
 
Mie nieleweshe bado niko nyuma hapa hizo za halotel unlimited unajiungaje 50,000/- tzs au hiyo 100GB nieleweshe ni kitu kigeni kwangu.
 
Mie nieleweshe bado niko nyuma hapa hizo za halotel unlimited unajiungaje 50,000/- tzs au hiyo 100GB nieleweshe ni kitu kigeni kwangu.
Ni line maalum ambazo zinakua na kifurushi cha 50,000, ukilipia utatumia GB 100 kwa speed kubwa zikiisha hizo GB 100 Internet haikati unaendelea kutumia ila kwa speed ndogo.

Kuna wadau humu humu jukwaani wanaunga
 
Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
Throttling lazima wafanye mkuu karibia ISP wote, hata Postpaid ya Tigo ni hivyo hivyo, ndiomana Kuna muda Bora uruke ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…