JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 55
- 66
Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
Huduma kwa wateja moja ya kazi zao ni marketing hawawezi kamwe kukwambia 100% ukweli na kamwe hawaruhusiwi kuponda product zao wenyewe ndo maana ni muhimu sisi wateja tukapeana ukweli kuhusu hizi service.Sasa si uwapigie huduma kwa wateja
Voda GB 24 kasi kubwa then kina drop, Halotel GB 100 then kina drop, atleast Information za mwisho nilizoona ni hizo.Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..
Airtel ile ya 70k je unlimited?Voda GB 24 kasi kubwa then kina drop, Halotel GB 100 then kina drop, atleast Information za mwisho nilizoona ni hizo.
Speed ikidrop inadrop kweli probably chini ya 500kbps, japo kuna screenshot za voda kupita 500kbps na kuna feedback ya mdau Halotel kupanda hadi 2mbps.
Mara Mia utafute mtandao wa 70K upate angalau 500GB hadi unlimited. Niliskia Tigo line zao za router zinakubali kwenye simu pia.
Soma huu uzi wote kuna jamaa ka elezea vizuri Unlimited ya Halotel inavyofanya kazi, pia kuna screenshot ya Voda mwishoni.
Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.www.jamiiforums.com
Umejibu vyema.Huduma kwa wateja moja ya kazi zao ni marketing hawawezi kamwe kukwambia 100% ukweli na kamwe hawaruhusiwi kuponda product zao wenyewe ndo maana ni muhimu sisi wateja tukapeana ukweli kuhusu hizi service.
Ni unlimited ila nayo pia ina throttle speed baada ya 500GB-1TBAirtel ile ya 70k je unlimited?
Mie nieleweshe bado niko nyuma hapa hizo za halotel unlimited unajiungaje 50,000/- tzs au hiyo 100GB nieleweshe ni kitu kigeni kwangu.Voda GB 24 kasi kubwa then kina drop, Halotel GB 100 then kina drop, atleast Information za mwisho nilizoona ni hizo.
Speed ikidrop inadrop kweli probably chini ya 500kbps, japo kuna screenshot za voda kupita 500kbps na kuna feedback ya mdau Halotel kupanda hadi 2mbps.
Mara Mia utafute mtandao wa 70K upate angalau 500GB hadi unlimited. Niliskia Tigo line zao za router zinakubali kwenye simu pia.
Soma huu uzi wote kuna jamaa ka elezea vizuri Unlimited ya Halotel inavyofanya kazi, pia kuna screenshot ya Voda mwishoni.
Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.www.jamiiforums.com
Ni line maalum ambazo zinakua na kifurushi cha 50,000, ukilipia utatumia GB 100 kwa speed kubwa zikiisha hizo GB 100 Internet haikati unaendelea kutumia ila kwa speed ndogo.Mie nieleweshe bado niko nyuma hapa hizo za halotel unlimited unajiungaje 50,000/- tzs au hiyo 100GB nieleweshe ni kitu kigeni kwangu.
Throttling lazima wafanye mkuu karibia ISP wote, hata Postpaid ya Tigo ni hivyo hivyo, ndiomana Kuna muda Bora uruke ukuta.Anayefahamu kuhusu Voda Kasi internet kifurushi cha 50,000 unlimited. Na kifurushi cha Halotel cha 50,000 unlimited. Naomba anielze na kipi bora..