simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
hapo nilipopigia mstari kuna point Kubwa sana. Hongera mkuu.Akibadilisha melody na akiendelea kujituma Atamzidi Ali kiba.
Kiba hajui lolote ,bila diamond hakuna kiba kabisa.Hapa katikati Aslay anakuja kwa Kasi kiasi cha kutishia ufalme wa kiba na diamond.
Ile show ya Mwanza tigo fiesta ilitoa majibu kuwa ASlay ni anakuja kuvunja ukuta wa kifalme wa kiba na diamond
Usitulishe matango pori asee kiba ajatolewa na mondi pia awajawai fanya hata collabo kwamba ikampa mikiki ya kutambulika af leo uje kutuambia hana lolote mbele ya mondi kwa lipi labdaKiba hajui lolote ,bila diamond hakuna kiba kabisa.
kwani mwanadamu si yuleyule, au yana kuzingua hayo majina ya nchiHilo shangwe analopata aslay fiesta ya mtwara, mwanza, iringa na mbeya diamond huwa analipata congo, uganda, mayote, zimbabwe, zambia na nigeria. Sijajua umewafananisha kwa lipi?
Kweli kabisa timu ni zile zile yanayotuzingua ni majina tu mf; Yanga na Manchester united, ukizingatia yanga anajaza uwanja wa taifa kama manchester wanavyojaza old trafordkwani mwanadamu si yuleyule, au yana kuzingua hayo majina ya nchi