Kasi ya Aslay yatoa Ufa ukuta wa kifalme wa diamond na kiba

Kasi ya Aslay yatoa Ufa ukuta wa kifalme wa diamond na kiba

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,498
Reaction score
1,216
Hapa katikati Aslay anakuja kwa Kasi kiasi cha kutishia ufalme wa kiba na diamond.

Ile show ya Mwanza tigo fiesta ilitoa majibu kuwa ASlay ni anakuja kuvunja ukuta wa kifalme wa kiba na diamond
468aa7b58a15e81d5b6bef5a1274a8ff.jpg
826996d80fcb791e2a6c9aec854d7114.jpg
7e01bf24b78584c276850887d3f0b42e.jpg
 
Hadi afike alipo Mond Baada ya miaka mingi na apate ma manager wazuri BTW Yupo vzr namkubali
Am Mond Die hard fan..
 
Hilo shangwe analopata aslay fiesta ya mtwara, mwanza, iringa na mbeya diamond huwa analipata congo, uganda, mayote, zimbabwe, zambia na nigeria. Sijajua umewafananisha kwa lipi?
 
Hilo shangwe analopata aslay fiesta ya mtwara, mwanza, iringa na mbeya diamond huwa analipata congo, uganda, mayote, zimbabwe, zambia na nigeria. Sijajua umewafananisha kwa lipi?
kwani mwanadamu si yuleyule, au yana kuzingua hayo majina ya nchi
 
Acha kumlinganisha Diamond na UJINGA..
 
Ni upepo tu utapita diamond is there to stay na hakuna atakae mfikia hata robo even if akifulia
 
Back
Top Bottom