sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10.
Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza supastaa D Voice.
Kwa huu moto ikiwa ajamaliza ata wiki ni hatari uko mbeleni dogo ni future ya bongofleva.
Happy Dvoice week to everyone!