sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ndio nani huyo? weka picha yake tumuone
Wababe hawajatoa album siku wakitoa uchafu wote utapoteanaIla mmakonde ni kisanga yani ametoa album mwakan jana Hadi Leo ipo trending
Album imeshiba mno itakimbiza kwa muda mrefu sana dogo anajua
Wewe ushapewa ngapi?Duh hizi shobo unaweza kupewa mimba bila ya ww kujua
Dg ameula😁Album imeshiba mno itakimbiza kwa muda mrefu sana dogo anajua
Muulize aliyekuzaaWewe ushapewa ngapi?
Unatafuta kupakatwa si bureMuulize aliyekuzaa
Njoo mremboUnatafuta kupakatwa si bure
Msipende kukurupuka kuleta humu chats zenu za kutengeneza pasipo kuedit!...View attachment 2820097
Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10.
Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza supastaa D Voice.
Kwa huu moto ikiwa ajamaliza ata wiki ni hatari uko mbeleni dogo ni future ya bongofleva.
Happy Dvoice week to everyone!
Uelewi ata unachokosoa itoshe kusema mambo ya music sio yako umedandia tuMsipende kukurupuka kuleta humu chats zenu za kutengeneza pasipo kuedit!...
Sasa kama hapo.. Namba 1 na namba7 ni nyimbo mbili tofauti!?... Mnachekesha sana!... Nyimbo moja ishike nafasi 2 kwa wakati mmoja!?
Ishike Namba 1&7....!? Huu upuuzi...peleka FB..!
Tulioko humu ni watu wazima!!
Wapuuzi nyie👇
Ningechukua Mwaka kugundua Shukrani sana mkuuMsipende kukurupuka kuleta humu chats zenu za kutengeneza pasipo kuedit!...
Sasa kama hapo.. Namba 1 na namba7 ni nyimbo mbili tofauti!?... Mnachekesha sana!... Nyimbo moja ishike nafasi 2 kwa wakati mmoja!?
Ishike Namba 1&7....!? Huu upuuzi...peleka FB..!
Tulioko humu ni watu wazima!!
Wapuuzi nyie👇
Namba moja ni video, namba 7 ni audio....Msipende kukurupuka kuleta humu chats zenu za kutengeneza pasipo kuedit!...
Sasa kama hapo.. Namba 1 na namba7 ni nyimbo mbili tofauti!?... Mnachekesha sana!... Nyimbo moja ishike nafasi 2 kwa wakati mmoja!?
Ishike Namba 1&7....!? Huu upuuzi...peleka FB..!
Tulioko humu ni watu wazima!!
Wapuuzi nyie👇
Huyo mpuuzi ungemuacha aendelee kuwa mbumbumbuNamba moja ni video, namba 7 ni audio....