Mkuu mwezi wapili nilikuwa huko
mbona nilikuwa nakamata 3g na speed ya kuridhisha tena nikiwa sabasaba juu
Hata hivyo hii 3.75g ni kwa baadhi ya sehemu DSM na mikoa mikubwa labda, maana hata hapa dsm penyewe haipatikani kote, ndio kwanda wameanza kufunga mitambo
Kwasababu nadhani Singida mnara wa 3G upo mmoja jaribu kufanya settings za dashboard kwa kulazimisha kuweka 3G only, au UMTS/HSPA only kutegemea na dashboard unayotumia, usiweke automatic maana itakuwa inachagua ku connect na edge kama ina signal kubwa kuliko 3g