Kasi ya Internet Ya Mtandao wa Airtel

Kasi ya Internet Ya Mtandao wa Airtel

Daudi Paul

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
78
Reaction score
23
Wadau nauliza?

Hivi hawa jamaa wa Airtel wanamaana gani kututangazia kuwa mtandao wao una kasi ya 3.75 G,ili khali hamna lolote, hapa Singida tulipo ni nafuu ya mwendo wa kobe.

Hakuna kipengele cha sheria kinacho wabana hawa jamaa, Ushauri plzs.
 
Mkuu mwezi wapili nilikuwa huko
mbona nilikuwa nakamata 3g na speed ya kuridhisha tena nikiwa sabasaba juu

Hata hivyo hii 3.75g ni kwa baadhi ya sehemu DSM na mikoa mikubwa labda, maana hata hapa dsm penyewe haipatikani kote, ndio kwanda wameanza kufunga mitambo

Kwasababu nadhani Singida mnara wa 3G upo mmoja jaribu kufanya settings za dashboard kwa kulazimisha kuweka 3G only, au UMT
S/HSPA only kutegemea na dashboard unayotumia, usiweke automatic maana itakuwa inachagua ku connect na edge kama ina signal kubwa kuliko 3g
 
Thanx Mkuu wacha nijaribu hiyo njia, ntakujulisha, mimi niko mitaa ya Mwenge Karakana.
 
Haya hata hapa Kunduchi nako ndo hivi

airtel leo.jpg

Hawa watu wezi sana
 
nimetoka kuulizia hzo modem nimeambiwa zimeisha... duuh afadhari mmenifumbua macho sinunui tena..
 
mimi huwa natumia nokia 9300 kuwasilisha hapa ndani ya mtandao wa airtel! ina kasi ya ajabu Songea mjini hapa. kadhalika hakuna mtandao wa uhakika kwa mawasiliano kama airtel hapa nchini tz. kubali usikubali, airtel ni kiboko yao!
 
Sii kweli mjomba hatuko hapa kutetea mambo yasio ya kweli,hiyo cm unatumia ka modem au nicm kama cm, kumbuka hapa nazungumzia modem inyounganishwa na Either Pc au Laptop.
 
Sii kweli mjomba hatuko hapa kutetea mambo yasio ya kweli,hiyo cm unatumia ka modem au nicm kama cm, kumbuka hapa nazungumzia modem inyounganishwa na Either Pc au Laptop.

inategemea na maeneo inawezekana upo nje ya eneo la 3G so lazima itakuwa slow jaribu kutafuta ni eneo lipi lipo full ndio uje useme iko slow kama umeikosa hiyo sehemu iliyo na 3G..
 
Back
Top Bottom