Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

GDP107 - 70 =37ndio ituchukue miaka 15? Au mwenzetu unapopiga hesabu ya mtaji wako halisi unajumlishia na za watu
 
Kwani Wakenya wanamungu? So mlimcrash magu aliposema mungu atailinda nchi mkasema ' He is insane' au mmesahau.
 
Nyang'au wamechanganyikiwa, yuko moja huku vijijini anahangaika kujificha kama digidigi anayewindwa. Amekosa permits
 
Kenya ni wachumba tu. Ndiyo maana sisi tunawaoa lakini wao hawaowi kwetu. Hii ni kutokana na kwamba hawana uwezo wa kulipia mahari kwa walembo wetu.

Nyanya, cabbage, vitunguu, mchele, ndizi, matunda, mahindi wananunua toka kwetu. Hii ina maanisha kwamba wao wananunua kwetu zaidi ya sisi tunavyonunua kwao. Hivyo ni lazima tuwakimbize kwa mwendo wa mbio za mita 100.

Miaka ya nyuma sisi ilikuwa tunanunua toka kwao viyu vingi vya viwandani lakini kwa sasa wao ni wategemezi wetu hasa kwa vyakula na law materials kwa ajili ya viwanda.

Mende sana hao watu. Walikuwa ni wauzaji wa 2 wa Tanzanite duniani baada ya India wakati hawana hata shimo moja la kuchimba Tanzanite. Kwa sasa wanasikia tu matangazo kwenye vyombo vya habari yanayohusiana na Tanzanite. Eti wanasema yule billionea wa Tanzanite ni Mmasai wa Kenya!!
 
Hahahaha, kuna baadhi ya nchi badala ya kwenda juu zinashuka chini kama ilivyoshuka Sudan na Algeria
 
***** zenu baada ya kudhibiti madini yetu sasa mnalia kilio cha mbwa mwizi. Mkileta jeuli tutazuia chakula chetu kisiingie nchini kwrnu mfe njaa na pia tutazuia matunda yetu yasiingie nchini kwrnu mfunge viwanda nyang'au wa bluu.
 
Mlikuwa ndio mdudu gani
Wajua kitu ambacho watu wengi hawajui haswa watanzania wanaamini kenya hakuna gold, Ndio haina kwa hicho kiwango Cha tanzania lakini gold in kakamega is estimated at 500 billion dollars. Leo hii ukaenda vihiga na kakamega utashangaa kuona wachimbaji wadogo wadogo wa gold wameweka shaft zao, hata Mimi Nina shaft zangu mbili moja vihiga na moja kakamega. Na central bank haina hizo data maana Hakuna Ile major investment from big companies , but individual investment from small scale miners .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hajapanic ni njaa iko kwa kichwa hali ni mbaya huko kwao, hats pasi ndefu haipigiki
 
Tz itakuja kudouble gdp pale tutakapoanza uwekezaji rasmi wa $30B wa LPG, Mradi wa kufua chuma mchuchuma na liganga na Miradi ya kurahishisha usafirishaji wa makaa ya mawe...haya yanaweza kufanyika miaka mitano ijayo tu,KE mnajitajidi Sana lakini mkae mkao tofauti Maana tumeamka kivingine
 
Hili eneo kwangu lilishagonga mwaba kitambo sana ubongo unashindwa kutasiri ili jambo na likitasiri halielewi coz mi maisha yangu ni yale kipato ni kile kile wanaonizunguka nao namimi ni mulemule au kuongezeka huku kuna wahusu baadhi ya watu na baadhi ya watu hawausiki?!
 
Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
 
Even if Tanzanian economy grows with more than 20percent this year bado hamtafikia kenya
 
Even if Tanzanian economy grows with more than 20percent this year bado hamtafikia kenya
Kufikia kitu gani wakati mbakufa kwa njaa, kipindupindu, upungufu wa MAJI, unemployment, high cost of living, international debts. Are you OK with all these so long as you read that Kenya has bigger GDP?
 
Lete evidence gdp ya kunyaland $107
 
hi miradi imefikia wap hasa huo wa kufua gas
 
Kufikia kitu gani wakati mbakufa kwa njaa, kipindupindu, upungufu wa MAJI, unemployment, high cost of living, international debts. Are you OK with all these so long as you read that Kenya has bigger GDP?
Hii ndo tunaiita horn effect .when was the last time you had people die of hunger in Kenya

Talking of debts we have been at a worse place than where we are at the moment.
In the year 2000s Kenya's debt to GDP ratio was at a record 78.1 percent.We have always paid our debts na hatujawahi samehewa kama Tanzania.
 
Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
Kenya Ina gold kibao tu watu hawajui siku moja fanya tu field tour , utajua,nenda kule macalder mines in migori upate watanzania wenzako wamejaa kule, nenda kakamega na vihiga upate akina Jerome walivyorundikana kule ndio wachorongaji wakuu, nenda pokoti gold ya pokoti ni 96% pure haihitaji mercury,huku leaching is the order of the day.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
$107 B mmeingia lini? Ama ni projection?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…