Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

saa hizi ndio mkumbuke kuna Mungu,si mlikuwa mnatucheka tunapoitisha maombi,saa hii kila mtu anakula alipopeleka mboga mamdogo[emoji23][emoji23]

ongezeni juhudi za kupima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umenichekesha sanaaa....wakale walipo peleka mboga....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ww ndio unaonekan kiswahil ni janga kwako....tunaongelea ukuaji wa uchumi Tz imewakanyaga wote katika level ya ukuwaji...asitake kujitoa faham....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Umeanza vizuri ila hilo la kuomba corona iendelee kuwepo...HAPANA AISEE...
 
Sasa umeongea nini hicho? Yaani unarudia hicho hicho , ukuaji wa 5.2% Tz Mara dufu kuzidi ya 1.4%kenya.
Wakenya wanapumulia oxygen chember soon watapukukutika.
 
Bro achaga ubishi, minerals zote dunia nzima zinafataga reef, inasemekana hivyo lakini nimekwambia nenda tu taita ufanye utafiti mwenyewe

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kama zipo zinaitwaje maana Tanzanite imeitwa hivyo kwakua ipo Tanzania tu sasa ikiwa Kenya itabidi jina libadilishwe itakua sio tanzanite tena
 
hi miradi imefikia wap hasa huo wa kufua gas
Wana angalia upya contract agreeement maana tulikuwa tumepigwaa,JPM alivyoingia akaamuru iangaliwe upya.Ndio maana yule mkurugenzi wa TPDC alimurudisha baada ya kupigwa majungu ili atimuliwe.Kumbe alizuai vitalu wiwili ambavyo aliacha kwa ajili ya selikari ambavyo inasemekana vina gesi kibao sasa watu walitaka kuvipiga.Kwa hiyo soon mambo yanarudi tuu.
 
Itakuwa poa saana maana trillion 66 kwenye uchumi si haba hapo bado chuma
 
Tafakari la babu......

hn Heche
@HecheJohn

·
Jul 2

Hivi Tanzania huo uchumi wa kati ambao hauwezi kutengeneza ajira ukoje huo? Kila mwaka maelfu ya vijana wa Kitanzania wanatoka vyuo vya juu vya kati na hata vyuo vya ualimu..wanaopata ajira iwe za serikali au hata mashirika binafsi ni wachache sana. Mishahara yenyewe nyongeza kitendawili.

Freddie

@fredrickjustne

Uchumi wa kati, tutembee kifua mbele
Translate Tweet









4
 
Wewe kweli mzigo sasa serikali gani yenye uchumi wa Kati iliojenga rami nchi nzima mpaka vijijini maana unasema unafiki eti unachukua picha za bars za seruu ndani huko eti ndio kithibitisho kua nchi masikini , shughuli akili yako uwe na uhakika wa kula nadhani hizo chuki zitambungua ila ukiendelea utabaki na chuki yako na haitokusaidia chochote
 
***** zenu baada ya kudhibiti madini yetu sasa mnalia kilio cha mbwa mwizi. Mkileta jeuli tutazuia chakula chetu kisiingie nchini kwrnu mfe njaa na pia tutazuia matunda yetu yasiingie nchini kwrnu mfunge viwanda nyang'au wa bluu.
Ccm hoyee
 
GDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99
 
Wewe subiri uchaguzi 2022 huko kwenu maana tz itakuwa imewavuluga vibaya kiuchumi sijui!!! sijui!!! sijui!!! kama hamtachinjana waziwazi .
 
GDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99
Wewe naye zombie GDP ya kwenya ni $72bil na hadi huu mwaka ukifika mwisho itashuka hadi $65bil hiyo ya 99bil ni makaratasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…