Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

saa hizi ndio mkumbuke kuna Mungu,si mlikuwa mnatucheka tunapoitisha maombi,saa hii kila mtu anakula alipopeleka mboga mamdogo[emoji23][emoji23]

ongezeni juhudi za kupima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umenichekesha sanaaa....wakale walipo peleka mboga....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizi ni ndoto za mchana, kiingereza kinawakanganya sanaaa. Kinachozungumziwa sio Tz kuzipiku nchi za Kenya au Ethiopia kiuchumi, bali ni ukuaji tu wa uchumi wa % kubwa zaidi ya nchi hizo zilizotajwa. Kwa ukuaji huo wa uchumi wa Tz kwa 5.2% na GDP yenu ya $63B, kuifikia GDP ya Kenya ya $107B(Q1/2020) itachukua miaka zaidi ya 17. Alafu hapo itabidi ukuaji wa uchumi wa Kenya uwe 0% kwa miaka zaidi ya 15.
Ww ndio unaonekan kiswahil ni janga kwako....tunaongelea ukuaji wa uchumi Tz imewakanyaga wote katika level ya ukuwaji...asitake kujitoa faham....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa

Dar es Salaam. Tanzania’s economy is forecast to grow at 5.2 percent this year, while six Eastern African countries’ economies are projected to plunge into recession, blaming the trend on the Covid-19 pandemic, a new report shows.
The new projection by the African Development Bank (AfDB) is lower than the 6.4 percent it projected before the pandemic. Tanzania’s growth will beat 12 other Eastern African countries in 2020, according to the report. The government predicts the economy will grow by 5.5 percent this year, while the World Bank projects it to slow to 2.5 percent.

The six countries which are projected to go into recession in 2020 are Seychelles (-10.5), Sudan (-7.2), Burundi (-5.2), Somalia (-3.3), Comoros (-1.2) and South Sudan (-0.4).

The other six countries will grow economically - but doing so at arelatively lower rate than Tanzania. The countries (with their growth rate percentages in brackets) are Rwanda (4.2), Ethiopia (3.1), Uganda (2.5), Kenya (1.4), Djibouti (1) and Eritrea (0.3).

“Despite the projected slowdown, real GDP growth in Tanzania will benefit from increased prices of gold, a major national export,” reads the report in part.

Gold is Tanzania’s leading foreign exchange earner after overtaking tourism this May, largely due to increased prices and production volumes.

Gold reached above $1,800 an ounce Wednesday for the first time since 2011, with the precious metal benefitting from its ‘safe haven’ status as the coronavirus outbreak triggered global economy fears.

Gold price was $1,257.35 in May 2019. The price surge partly contributed to making gold Tanzania’s leading foreign exchange earner, overtaking tourism which has been hit hard by the Covid-19 global pandemic.

Going by the Bank of Tanzania’s latest report, gold export earnings increased by 46.8 percent, to $2.5 billion (about Sh5.8 trillion) in the year to May 31, 2020.

Tourism earnings went down from $2.5 billion (Sh5.8 trillion) to $2.3 billion (Sh5.3 trillion) in the same period.
Real GDP growth, the report adds, would also benefit from reduced oil prices.

The Finance and Planning minister, Dr Philip Mpango, is on record as saying that Tanzania - which registered the first case of the Covid-19 in mid-March - was less hit by the pandemic because of the measures it took to cushion the economy.

While other countries imposed partial or total lockdowns, Tanzania did not do so in hopes of protecting the people, a majority of whom are “hand-to-mouth” cases.

The swift and massive shock of the coronavirus pandemic and shutdown measures to contain it are reported to have devastated economies of many countries across the globe.

At the regional level, the GDP growth projection has taken a hit in the face of the pandemic, with East Africa’s GDP projected to grow at 1.2 percent: far below the earlier projection of 5.1 percent.

The region’s economic growth remains robust amid emerging challenges - and until the Covid-19 outbreak, whose first cases were confirmed in late December last year, peters out.

Three East African countries - namely Tanzania, Ethiopia and Rwanda - are among the six African countries in the top-10 fastest-growing economies in the world.

The region’s real GDP growth was 5.2 percent in 2018 - but slowed down to 5 percent in 2019.

The estimated slowdown in 2019 was mainly a result of adverse weather conditions and fiscal consolidation that constrained growth in public sector infrastructure projects.

Multiple political and socio-economic policy interventions are necessary to harness East Africa’s growth prospects and mitigate the underlying external and domestic risks, says the report.

The basket of measures include a bold and coordinated response to the crisis; consolidating peace and stability; accelerating structural transformation, and strengthening macroeconomic policy coordination.

Other interventions may include diversifying the development financing sources; deepening regional integration, and developing skills for workforces of the future.

“A decisive and coordinated response is necessary to contain the spread of Covid-19, and mitigate its health and socio-economic effects,” reads the report in part.

Source: The Citizen

=========

MY TAKE: Tunaomba Watanzania kuendelea kumuomba Mungu ili Corona iendelee kuwepo
Umeanza vizuri ila hilo la kuomba corona iendelee kuwepo...HAPANA AISEE...
 
Hizi ni ndoto za mchana, kiingereza kinawakanganya sanaaa. Kinachozungumziwa sio Tz kuzipiku nchi za Kenya au Ethiopia kiuchumi, bali ni ukuaji tu wa uchumi wa % kubwa zaidi ya nchi hizo zilizotajwa. Kwa ukuaji huo wa uchumi wa Tz kwa 5.2% na GDP yenu ya $63B, kuifikia GDP ya Kenya ya $107B(Q1/2020) itachukua miaka zaidi ya 17. Alafu hapo itabidi ukuaji wa uchumi wa Kenya uwe 0% kwa miaka zaidi ya 15.
Sasa umeongea nini hicho? Yaani unarudia hicho hicho , ukuaji wa 5.2% Tz Mara dufu kuzidi ya 1.4%kenya.
Wakenya wanapumulia oxygen chember soon watapukukutika.
 
Bro achaga ubishi, minerals zote dunia nzima zinafataga reef, inasemekana hivyo lakini nimekwambia nenda tu taita ufanye utafiti mwenyewe

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kama zipo zinaitwaje maana Tanzanite imeitwa hivyo kwakua ipo Tanzania tu sasa ikiwa Kenya itabidi jina libadilishwe itakua sio tanzanite tena
 
hi miradi imefikia wap hasa huo wa kufua gas
Wana angalia upya contract agreeement maana tulikuwa tumepigwaa,JPM alivyoingia akaamuru iangaliwe upya.Ndio maana yule mkurugenzi wa TPDC alimurudisha baada ya kupigwa majungu ili atimuliwe.Kumbe alizuai vitalu wiwili ambavyo aliacha kwa ajili ya selikari ambavyo inasemekana vina gesi kibao sasa watu walitaka kuvipiga.Kwa hiyo soon mambo yanarudi tuu.
 
Itakuwa poa saana maana trillion 66 kwenye uchumi si haba hapo bado chuma
 
Tafakari la babu......

hn Heche
@HecheJohn

·
Jul 2

Hivi Tanzania huo uchumi wa kati ambao hauwezi kutengeneza ajira ukoje huo? Kila mwaka maelfu ya vijana wa Kitanzania wanatoka vyuo vya juu vya kati na hata vyuo vya ualimu..wanaopata ajira iwe za serikali au hata mashirika binafsi ni wachache sana. Mishahara yenyewe nyongeza kitendawili.

Freddie

@fredrickjustne

Uchumi wa kati, tutembee kifua mbele
Translate Tweet

Image

Image

Image

Image

4
 
Wewe kweli mzigo sasa serikali gani yenye uchumi wa Kati iliojenga rami nchi nzima mpaka vijijini maana unasema unafiki eti unachukua picha za bars za seruu ndani huko eti ndio kithibitisho kua nchi masikini , shughuli akili yako uwe na uhakika wa kula nadhani hizo chuki zitambungua ila ukiendelea utabaki na chuki yako na haitokusaidia chochote
 
***** zenu baada ya kudhibiti madini yetu sasa mnalia kilio cha mbwa mwizi. Mkileta jeuli tutazuia chakula chetu kisiingie nchini kwrnu mfe njaa na pia tutazuia matunda yetu yasiingie nchini kwrnu mfunge viwanda nyang'au wa bluu.
Ccm hoyee
 
GDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99
Hizi ni ndoto za mchana, kiingereza kinawakanganya sanaaa. Kinachozungumziwa sio Tz kuzipiku nchi za Kenya au Ethiopia kiuchumi, bali ni ukuaji tu wa uchumi wa % kubwa zaidi ya nchi hizo zilizotajwa. Kwa ukuaji huo wa uchumi wa Tz kwa 5.2% na GDP yenu ya $63B, kuifikia GDP ya Kenya ya $107B(Q1/2020) itachukua miaka zaidi ya 17. Alafu hapo itabidi ukuaji wa uchumi wa Kenya uwe 0% kwa miaka zaidi ya 15.
 
Yani ushajiamishia kwamba kuipiku kenya mpk muiombee maafa..
Hahahaaa!!basi kw taarifa yenu Mungu atatusaidia duniani huu ugonjwa utapita tu..

Tumia wakati wenu angalau kupunguza gepu, manake mambo yakirudi sawa huku kwetu na duniani kote basi itabidi mmekua mikia hadi na nyinyi mjaliwe.
Wewe subiri uchaguzi 2022 huko kwenu maana tz itakuwa imewavuluga vibaya kiuchumi sijui!!! sijui!!! sijui!!! kama hamtachinjana waziwazi .
 
GDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99
Wewe naye zombie GDP ya kwenya ni $72bil na hadi huu mwaka ukifika mwisho itashuka hadi $65bil hiyo ya 99bil ni makaratasi tu
 
Back
Top Bottom