Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

GDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99
Hii jidipii ya kenya sielewi kabisa inamaana kila mkenya ana yakwake? maana akija huyu ata andika 99 GDP akija mwingine ata andika 100 GDP mwingine 99.9 GDP mwingine 107 GDP sjui kwanin huwa hawaitaji hii 72 GDP
 
Hawa kunyaland wa najaribu sana kukuza GDP$99 lini imevuka kiwango icho, unless kwenye makaratasi
Hii jidipii ya kenya sielewi kabisa inamaana kila mkenya ana yakwake? maana akija huyu ata andika 99 GDP akija mwingine ata andika 100 GDP mwingine 99.9 GDP mwingine 107 GDP sjui kwanin huwa hawaitaji hii 72 GDP
 
Kwa Kunyaland sawa ila sisi Tanzania tunasonga mbele
Wewe naye zombie GDP ya kwenya ni $72bil na hadi huu mwaka ukifika mwisho itashuka hadi $65bil hiyo ya 99bil ni makaratasi tu
 
Wewe naye zombie GDP ya kwenya ni $72bil na hadi huu mwaka ukifika mwisho itashuka hadi $65bil hiyo ya 99bil ni makaratasi tu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Rudi shule usome mambo ya uchumi, πŸ˜‚πŸ˜‚yaani pedestrian thinking ya mitanzania inachekesha. Wewe unadhani kwa sasa uchumi wa Tanzania ni $62B?, already first quoter data ya 2020 was released., by now Tz must be 65-68, Kenya is 105-107 there., muna wivu kuona Kenya iko juu yenyu, economic facts ziko wazi, if we start analyzing income per sector mutakimbia., ni utalii na minerals tu ndio najua Tz imeanza kung'ara. Which can be canvelled na mapato ya other sectors in Kenya. Wacha kukurupuka, do research and put a clear comparison analysis ya economy ya Tz vs Kenya, usishangae CCM imewalisha propaganda., Tz might be at $55., Kenya is analysed by external bodies, Tanzania statistics is done and diseminated solely by CCM govt. Ili ban other independent research bodies. So nani ana GDP uchwara?, Rz govt said this year it grow by 5% IMF wamesema 2%, hiyo 5% which sectors are conteibuting? Because tour main sectirs kama utalii and other exports have been affected by covid19 lockdowns internationally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…