Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 772
- 1,733
Hii jidipii ya kenya sielewi kabisa inamaana kila mkenya ana yakwake? maana akija huyu ata andika 99 GDP akija mwingine ata andika 100 GDP mwingine 99.9 GDP mwingine 107 GDP sjui kwanin huwa hawaitaji hii 72 GDPGDP ya Kunyaland haijafika $107 ni $99