Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.