Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Huko kusini wanamuiga mtume mhamadi alioa kabinti ka miaka tisa Kwa mujibu wa maandiko Yao wanavyosema.ukichanganya na ukosefu wa elimu ndiyo hupelekea watu wa huko kuzaa wakiwa watoto
Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
 
Kwa sàsa hali itakuwa mbàya zaidi, RAIS karuhusu wazae halafu warudi shule kuendelea na masomo unafikiri hii hali nani ata intervene tena?
TENA RÀIS MWANAMKE.
 
Huko kusini wanamuiga mtume mhamadi alioa kabinti ka miaka tisa Kwa mujibu wa maandiko Yao wanavyosema.ukichanganya na ukosefu wa elimu ndiyo hupelekea watu wa huko kuzaa wakiwa watoto
Achana na hadithi, tuongelee wakati tuliopo sisi tuko hai ndo inabidi tuboreshe maisha.
Sàsa kàmà kiongozi wà nçhi, Rais mwanamke ànaruhusu watoto wazae watoto halafu wakaendelee nà masomo unadhani hao wasichana watajali nini tena?
Unàzaa ukiwa la nne halafu unaendelea na masomo. Tàtizo liko wàpi?
 
Bora hao wanazaa ni jambo zuri mnoooo........kuliko watoto wangu na wako wanaosoma kizungu watazaa wakiwa na miaka 30 huko,ila kazi kumeza dawa za kuzuia mimba na kutoa mimba
 
Serikali ni kama imetelekeza kabisa suala la elimu na huduma za uzazi wa mpango kwa umma.

Sisikii tena zile kampeni za nyota ya kijani katika redio!
Sasa binti kuzaa hio ni changamoto?,.....ulitaka wazae wavulana,......upo tayari Binti yako,Miaka 15 hadi 25 atoe mimba ila anayezaa amekosea?.......kisha ndio munajiona wasomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…