Upo sahihi mkuu,hwawa wanawake ni majanga matupu!kuibiwa siku hizi ni kawaida tu, haya manamake ya sikuhizi ni majinga sana, hata kama unayafanyia kila kitu haya chelewi kupigwa nje
Upo sahihi mkuu,hwawa wanawake ni majanga matupu!kuibiwa siku hizi ni kawaida tu, haya manamake ya sikuhizi ni majinga sana, hata kama unayafanyia kila kitu haya chelewi kupigwa nje
Jitahidi kukwepana nayo kwa kuwa umeligundua tatizo hili mapema,ili baadaye usije kugongewa!Asante mkuu. Nijitahidi kukwepana nayo
Jitahidi kukwepana nayo kwa kuwa umeligundua tatizo hili mapema,ili baadaye usije kugongewa!
Upo sahihi mkuu,hwawa wanawake ni majanga matupu!
Mimi ni muasilika wa hili tatizo,nimejaribu kumtendea na kumtimizia kila kitu mpenzi wangu Madame B ,lakini cha ajabu bado anatoka nje ya ndoa,kwa kweli inaniuma sana!
Duh!kugongewa kunauma sana!kabla sijawa na tatizo nimegongewa, sasa nikiwa na tatizo si ndio wana mmbeba kabisa eeeh! Inabidi kuchukulia poa tu ukigongewa unajidai auoni ili maisha yaende, ila ukiwa unajidai unajua kuumia, utakufa na magonjwa ya moyo.
Duh!kugongewa kunauma sana!
duuuu!!! kaka upo?? long time aiseee .Japokuwa kwa kiasi fulani takwimu hizo zinaweza kuwa zimekuzwa na ukweli kwamba watu wengi sasa wana ufahamu na wanakwenda kupima Kisukari, na pia vipimo vimekuwa vinapatikana sehemu mbali mbali...basi takwimu lazima zipande. Hata hivyo, huo ndio ukweli wenyewe..kuwa maisha tunayoishi sasa yanatuongezea hatari za kupata tatizo hili, tubadilikeni jamani..tujali tunachokula, na tuwe na utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.
Lingine ni watoto wetu...siku hizi yaani idadi ya watoto wenye vitambi ni kubwa hasa ukienda kwenye shule hizi za Saint nini sijui..watoto wa kike kwa wa kiume wamefura mafuta hatari, na wazazi wanachukulia kama jambo la kawaida tu, na wengine wanaona ni sifa kuwa watoto eti ndio wana afya...si kweli, si afya ile! Tunawaexpose watoto kwenye life style hatarishi tangu umri mdogo, ndio hawa wanakuja kuishia kuwa na kisukari na high blood pressure katika umri mdogo..and its not their fault, ni fault yetu sisi kama wazazi kuwabambikiza maisha hatarishi watoto wanakuja athirika baadae!
Mkuu Mkereketwa_Huyu Kwanini umemuuliza swali hilo mkuu.@TUKUTUKU?
Mke ninaye mkuu,sasa bado nipo fit (Mke wangu bado anaridhika na huduma yangu)!
Teh teh teh!kwa tafsiri hiyo mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara!Nilimjibu vile kutokana na hii kauli yake "Mimi nakosa kabisa muda wa kufanya mazoezi,hii ni hatari sana!" Kwa uelewa wangu ni kwamba (Mh. TUKUTUKU) hafanyi mazoezi, na ndiyo maana nikauliza je, hana mke? Kwani tendo la ndoa pia ni mazoezi tosha, au uongo?
Teh teh teh!kwa tafsiri hiyo mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara!
Nashukuru sana mkuu!Basi ujumbe umefika na hongera kwa kupunguza kitambi.