Pre GE2025 Kasi ya wataka Ubunge kuja na mapambio kuhusu Rais Samia, ni uthibitisho tosha kuwa anayewaweka Madarakani ni Rais sio Wananchi !!. Katiba mpya lazima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sahivi tuna viongozi wa hovyo sn
 
Wanakula rushwa mpk
 
LISSU sio MTU wa kufurahia hujuma Kwa mwamvuli wa kumsifia.

Hayuko hivo hata
kuna haja gani katibu mkuu wake anapiga mayowe ya hujuma dhidi ya uongozi wake na agenda isiyo na tija ya no reform no elections πŸ’
 
Safari hii wanapitishwa bure kama 2020 ilivyokuwa! Kwa hiyo mwenye bidii ya Uchawa ndiye atakayeteuliwa.
 
Waliosoma shule zama za miaka ya 1960 Hadi 1990 walifunzwa elimu ya kujielewa na kujitegemea kijamaa kwa manufaa Yao na wengine.

Waliosoma zama za 1991 hadi 2020 nchi ilikuwa imeshakosa dira ya siasa za ujamaa na kujitegemea. Kile kitendo Cha kushindwa kutoa dira rasmi kilizaa kizazi Cha kubahatisha mrengo wa kiongozi na kuanza kubahatisha siding iwe kwa kuwasifia wengine walioshika dola.

Kushika Dola ni kushika Jeshi likusaidie mrengo wako.
Je, kama kiongozi, kwa maslahi ya taifa linalokua, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidira na kiupeo, huwezi toa mwongozo kwa watu wako?!

Imagine mtu mzima baba wa waajiriwa anaAnza kusifia kimkate mkate hivi!
 
Inasikitisha sana
 
Magufuli ndo kaleta haya yote
 
Huu upuuzi ww kumsifia rais Magufuli ndio muasisi halisi. Kwa sasa ni muendelezo wa alichoasisi.
 
Huu upuuzi ww kumsifia rais Magufuli ndio muasisi halisi. Kwa sasa ni muendelezo wa alichoasisi.
Spinning za uchawa nchi hii zimeanza na kundi la wanamtandao wakimtengeneza Kikwete kuwa rais.. walinunua waandishi wa habari kuwachafua walikuwa tishio kwake..Nchi nzima ikaimbishwa sifa hewa za Kikwete hata kabla hajawashika madaraka.. mwishoni mwa utawala wa Mkapa alionekana rais kivuli.. nchi nzima ilikuwa chini ya kundi la wanamtandaot.. km unaweza kukumbuka ukwapuaji wa pesa pale BOT kwenye akaunti ya EPA..
 
Duh πŸ™„ !!
Ngoja Tusubiri tuone !
Mzee Ndugai simsikii kabisa siku hizi 😳 !
Locuta causa finita ! Kama kazi !
 
Tena yenye faida na haina hasara !
 
Wenye Akili na wenye kumbukumbu nzuri wanalijua hili ulilolieleza !
Ila mafisadi na mazwazwa watakuwa na usemi mwingine !
Awamu ya Kikwete ndio ilianzisha mabalaa yote haya tunayoyaona hivi sasa !
Hata Makonda aliinuliwa na Kikwete kwa kule kumdhalilisha Mzee Warioba !
Kuanzia wakati huo kukaanzishwa mtindo wa hoja kujibiwa na madhalilisho badala ya hoja kujibiwa kwa hoja !

Wahanga wengi wanalijua hili !
Lakini KARMA haiko mbali sana ! πŸ™πŸ™
 
Kikwete aliharibu sn nchi yetu hafai ni mtu wa hovyo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…