Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni sawa usemayo, lakini Magufuli yeye alisifiwa waziwazi, tena kwa mabavu. Bora hata huyo JK ilikuwa ni kucheza na saikilojia zaidi.Spinning za uchawa nchi hii zimeanza na kundi la wanamtandao wakimtengeneza Kikwete kuwa rais.. walinunua waandishi wa habari kuwachafua walikuwa tishio kwake..Nchi nzima ikaimbishwa sifa hewa za Kikwete hata kabla hajawashika madaraka.. mwishoni mwa utawala wa Mkapa alionekana rais kivuli.. nchi nzima ilikuwa chini ya kundi la wanamtandaot.. km unaweza kukumbuka ukwapuaji wa pesa pale BOT kwenye akaunti ya EPA..