Nguvu gani aliyoitumia Magufuli kulazimisha watu wamsifie ? leo ni miaka takribani 4 tangu afe bado jina lake lipo midomoni kwa watu, ukiingia mitandaoni iwe Fb, Insta,Youtube,Tiktok et,bado video clip zake ziko random na mamilioni ya viewers.. wewe ungesema tu unapenda kufanya Personal attack tu kwa Marehemu..