Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
UHeee yoooooh,
Natumai mko poa Glory to God I had a blast this weekend partying like a duck. I just love myself.
Ijumaa hii sikuwa na gari nilichukua bajaji kuelekea mwenge kulikuwa na foleni balaa hata watu wa bajaji wakawa wanaringa na kupandisha bei kisa foleni kubwa. Nikaiona bajaji moja ina abiria wawili mie nikaingia nikawa abiria wa 3 tukasubiri yule abiria anayekaa na dreva ndo tukasepa. Ile Nimekaa vizuri Nasikia Hi Kasie, kugeuka looh was a Kenyan boy ambaye nilishamsemaga humu. I can read his mind alitaka yule abiria wa kati ashuke tubakie wawili. Wale abiria wawili walishukia sayansi ..... kilichoendelea hapo my week end was superb thank God ........
Kutokana na uzoefu wangu Kenyan boy ķa fall kwa Kasie ila ......
He looks like a boy on the outer but he is a man.
Crush......!!!??? Nah...... it's falling.
Kind of tungo tata mwerevu kuifumbua