Kasie,karucee na Lara1

Kasie,karucee na Lara1

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hawa mama zangu Wana maajabu Sana kila siku wananishangaza jinsi wanavyonogesha jukwaa nawapenda toka niwajue hawajaniangusha labda kidogo Lara ndo kafulia sema sio kesi karucee Bado mpya na wa kisasa anatema tu nikiona mapoint yake napata ma steam.kwa adabu kabisa najileta kwenye PM zenu kuwasalamia kikubwa hakuna wasi kwa sababu siji kwa ajili ya mapenzi nawaheshimu Sana nakuja kwa ajili ya kujengana zaidi mnionyeshe njia in short nataka niwe superstar.
 
Umemeza dawa zako leo Mkuu? Muhimu

Hayo, mengine niachie mimi mhenga!

kutoka: Imburumatale.
 
Back
Top Bottom