ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hawa mama zangu Wana maajabu Sana kila siku wananishangaza jinsi wanavyonogesha jukwaa nawapenda toka niwajue hawajaniangusha labda kidogo Lara ndo kafulia sema sio kesi karucee Bado mpya na wa kisasa anatema tu nikiona mapoint yake napata ma steam.kwa adabu kabisa najileta kwenye PM zenu kuwasalamia kikubwa hakuna wasi kwa sababu siji kwa ajili ya mapenzi nawaheshimu Sana nakuja kwa ajili ya kujengana zaidi mnionyeshe njia in short nataka niwe superstar.