Kwa watu msiojuwa huyo jamaa hakupenda kustaafu mzee wa msoga na mama walimuita ikulu pale dodoma na kumwambia aache asigombee na amepewa makalipio makali , zipo taarifa kundi la katelephone likimwambia atangazie bungeni kugombea ubunge jimboni kwake ndani ya bunge lakini alikuwa ameshaambiwa asigombee hakutaka kusikiliza wenye nchi ikabidi aitwe mjengoni na kupewa kalipio na ndiyo maana sasahivi ametangaza kutogombea baada ya shinikizo kali kutoka white house chini ua mzee wa msoga ! Kwa sasa kinachosukwa ni kwamba kila eneo inatakiwa wawepo wanaounda lile kundi la msoga gang kuanzia kwenye ubunge RC DC n.k lengo 2030 isilete taabu kwa watu wao