GE2025 Kasim Majaliwa, uchaguzi huru na haki siyo maneno, ni process/mchakato ya kufikia Uhuru na haki! Je mchakato/Processes hizo umezifanya?

GE2025 Kasim Majaliwa, uchaguzi huru na haki siyo maneno, ni process/mchakato ya kufikia Uhuru na haki! Je mchakato/Processes hizo umezifanya?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya?

Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura .

Vigezo hivi sidhani kama hapa vinatimizwa inavyotakiwa.

VIGEZO VYA UCHAGUZI HURU NA HAKI

1. Voter registration.


Kila mwenye haki na vigezo vya kupiga kura apewe nafas ya kujiandikisha. Siyo kuandikisha watu wasio na vigezo. hapa hata watoto na waliokufa wanaandikishwa

2. Voters have access to reliable information

Vyombo vya habari viwe huru kutoa taarifa kwa wapiga kura. Hiyo hapa haipo. Watu wawe na taarifa kamili kuhusu utaratibu wa kupiga kura.

3. Citizens can run. Watu wawe na haki ya kugombea.

Siyo wengine wanawekwa jela na mamlaka eg Lisu, kuwakata etc etc

4. All voters are able to vote.

Kuwepo na mazingira ha haki kumwezesha kila mtu kupiga kura


5. Voters are not intimidated.

Wapigaji kura kutotishwa na polisi kama ilivyo sasa

6. Voting is free from fraud.

Upigaji kura usiwe na udanganyifu eg mtu mmoja kura moja

7. Ballots are counted accurately and the correct results are reported.

Kuhesabiwa kura kwa usahihi na kutoa matokeo ya liyopatikana kwa usahihi

8. The results are respected Matokeo yaheshimiwe...

Haya yote ni tatizo kubwa kwetu. Umelirekebisha?

TO SUM UP: THEREFORE HAPA HAKUNA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI
 
Upo sahiji sana.
Bahati mbaya, huyu Mjaliwa uwongo anaamini wote hawana akili.
 
Back
Top Bottom