Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ulitaka waziri mkuu awe na term zaidi ya mbili?Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa?
Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu next term ?
Mbona sasa anataka Kugombea Ubunge Ruangwa? na alitangaza siku ya Ruangwa MarathonUlitaka waziri mkuu awe na term zaidi ya mbili?
Uliona wapi?
Basi amepotoka.Mbona sasa anataka Kugombea Ubunge Ruangwa? na alitangaza siku ya Ruangwa Marathon
Ni kweli kabisa!!Basi amepotoka.
Kifo Cha Magu kimeleta mtikisiko mkubwa nchini.
Kihalali kabisa,
SSH na majaliwa wanatakiwa kurudi nyumbani kupumzika 2025 maana muda wao unaisha na term za Magu ndipo zilitakiwa kutamatika muda huo.
Sasa akisikia SSH ana Mpango kugombea, naye anawaza hivyo.
Tusubiri BUSARA ya Wazee.