Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa?

Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu next term ?
 
Umakamu sio cheo Cha utendaji hivyo haitaathiri utendaji wa chama. Anaweza kabisa na anafaa
 
Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa?

Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu next term ?
Ulitaka waziri mkuu awe na term zaidi ya mbili?

Uliona wapi?
 
Kufikia mwezi WA nne atawashukuru wanaruangwa kwa kumpa ubunge, atamshukuru Magu na Mama Kisha atasema Hana Nia ya kugombea 2025, baadae bungee linavunjwa.

Atakuwa ameandaa chawa WA kumwachia Jimbo.
 
Mbona sasa anataka Kugombea Ubunge Ruangwa? na alitangaza siku ya Ruangwa Marathon
Basi amepotoka.

Kifo Cha Magu kimeleta mtikisiko mkubwa nchini.

Kihalali kabisa,

SSH na majaliwa wanatakiwa kurudi nyumbani kupumzika 2025 maana muda wao unaisha na term za Magu ndipo zilitakiwa kutamatika muda huo.

Sasa akisikia SSH ana Mpango kugombea, naye anawaza hivyo.

Tusubiri BUSARA ya Wazee.
 
Ni kweli kabisa!!
Sasa ni wakati wa Bakari NAMPENYA kugombea Mwakani!! Ruangwa!!
 
Chama kinahitaji taarifa ya utekelezaji wa ilani kutoka kwake, hawezi kuwa anajihoji mwenyewe, yeye ni CEO wa serikali,
 
Back
Top Bottom