Kaskazini ndio kunaongoza kuwa na mafundi waliobobea

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Namaanisha Kilimanjaro na Arusha..
Hakuna mafundi waliobobea hapa Tz kama waliotoka kwenye hii mikoa miwili
Namaanisha ;
  1. Mafundi wa magari(mechanics)
  2. Mafundi wa ujenzi wa nyumba
  3. Mafundi wa Fanicha
  4. Wachoraji
Prove me wrong wadau 😎😎
Hebu fikiria gari imeharibika Nairobi ,anatafutwa fundi kutoka Moshi... Just imagine
 
Wachoraji wa nini? Vigezo vya ubobeaji viko wapi?
 
Namaanisha Kilimanjaro na Arusha..
Hakuna mafundi waliobobea hapa Tz kama waliotoka kwenye hii mikoa miwili
Namaanisha ;
  1. Mafundi wa magari(mechanics)
  2. Mafundi wa ujenzi wa nyumba
  3. Mafundi wa Fanicha
  4. Wachoraji
Prove me wrong wadau 😎😎
Hebu fikiria gari imeharibika Nairobi ,anatafutwa fundi kutoka Moshi... Just imagine

Inategemea jamii husika imewekeza wapi. Kaskazini imewekeza sana kwenye elimu sahihi na kwa muda mrefu. Mshukuru sana uwekezajiwa kanisa pia.

Halafu moyo wa kupenda kujifunza. Kujifunza ni uamuzi wa mtu. Kama ana dhamiria, na mazingira yakaruhusu, kwanini asiwe fundi mzuri?

Kwa mfano, kule katavi na Kigoma, big deal ni mambo ya kupigana vipapai...na kuroga. Wengi wanaamini ili mambo yaende, badala ya kuhangaisha akili zao, lazima wakawaone waganga...ndio maana unaona kuna watu wanatembea mjini ile kazi yao kutoa wachawi. Na hao wachawi wanaowatoa, mara nyingi wanakaa na maskini waliopitiliza tu? Sijasikia zoezi kama hilo City Center au Masaki...lakini ndio uwekezaji wao
 
Mtoa mada katoa hoja kulingana na watu wanaomzunguka. Nimekaa Dar, nimekaa morogoro, nimekaa Unguja, nimekaa shinyanga, nimekaa Tanga sijawah kuona fundi maeneo hayo katoka kaskazini anayoizungmzia mtoa mada
 
hebu taja shule za kanisa zilizopo mkoa wa Kilimanjaro pengine by year 1990 halafu utuambia ni Asilimia ngapi ya shule za Sekondari kwenye mkoa huo? Pengine itakuwa ni chini ya 10% Hivyo uwekezaji wa kanisa hauna tofauti na mikoa mingine....
 
Mtoa mada katoa hoja kulingana na watu wanaomzunguka. Nimekaa Dar, nimekaa morogoro, nimekaa Unguja, nimekaa shinyanga, nimekaa Tanga sijawah kuona fundi maeneo hayo katoka kaskazini anayoizungmzia mtoa mada

..kuna kipindi Wachaga walikuwa wamebobea kwenye kutengeneza ma-grill. Ilikuwa ukienda gerezani, keko, manzese, utakutana nao wanachomelea.

..hata ufundi viatu, shoe shine, kuchoma mishkaki, kukaanga chips, na biashara ndogo ndongo jijini Dsm, Wachaga walitangulia jamii nyingine.
 
Back
Top Bottom