Kwenye mafundi ujenzi nimewakubali sana Wapare wa milimaniMafundi magari nakubali
Upande mafundi nyumba ni kanda ya ziwa huko kuna mafundi anko asikwambie mtu.
Wachoraji ni ukanda wa pwani ndio kazi yao
Wachoraji wa nini? Vigezo vya ubobeaji viko wapi?Namaanisha Kilimanjaro na Arusha..
Hakuna mafundi waliobobea hapa Tz kama waliotoka kwenye hii mikoa miwili
Namaanisha ;
Prove me wrong wadau ππ
- Mafundi wa magari(mechanics)
- Mafundi wa ujenzi wa nyumba
- Mafundi wa Fanicha
- Wachoraji
Hebu fikiria gari imeharibika Nairobi ,anatafutwa fundi kutoka Moshi... Just imagine
Namaanisha Kilimanjaro na Arusha..
Hakuna mafundi waliobobea hapa Tz kama waliotoka kwenye hii mikoa miwili
Namaanisha ;
Prove me wrong wadau ππ
- Mafundi wa magari(mechanics)
- Mafundi wa ujenzi wa nyumba
- Mafundi wa Fanicha
- Wachoraji
Hebu fikiria gari imeharibika Nairobi ,anatafutwa fundi kutoka Moshi... Just imagine
Tabora wanachonga milango mizur kuliko Zanzibar door?..Mafundi seremala wazuri wanatoka Tabora.
Mtoa mada katoa hoja kulingana na watu wanaomzunguka. Nimekaa Dar, nimekaa morogoro, nimekaa Unguja, nimekaa shinyanga, nimekaa Tanga sijawah kuona fundi maeneo hayo katoka kaskazini anayoizungmzia mtoa madaInategemea jamii husika imewekeza wapi. Kaskazini imewekeza sana kwenye elimu sahihi na kwa muda mrefu. Mshukuru sana uwekezajiwa kanisa pia.
Halafu moyo wa kupenda kujifunza. Kujifunza ni uamuzi wa mtu. Kama ana dhamiria, na mazingira yakaruhusu, kwanini asiwe fundi mzuri?
Kwa mfano, kule katavi na Kigoma, big deal ni mambo ya kupigana vipapai...na kuroga. Wengi wanaamini ili mambo yaende, badala ya kuhangaisha akili zao, lazima wakawaone waganga...ndio maana unaona kuna watu wanatembea mjini ile kazi yao kutoa wachawi. Na hao wachawi wanaowatoa, mara nyingi wanakaa na maskini waliopitiliza tu? Sijasikia zoezi kama hilo City Center au Masaki...lakini ndio uwekezaji wao
hebu taja shule za kanisa zilizopo mkoa wa Kilimanjaro pengine by year 1990 halafu utuambia ni Asilimia ngapi ya shule za Sekondari kwenye mkoa huo? Pengine itakuwa ni chini ya 10% Hivyo uwekezaji wa kanisa hauna tofauti na mikoa mingine....Inategemea jamii husika imewekeza wapi. Kaskazini imewekeza sana kwenye elimu sahihi na kwa muda mrefu. Mshukuru sana uwekezajiwa kanisa pia.
Halafu moyo wa kupenda kujifunza. Kujifunza ni uamuzi wa mtu. Kama ana dhamiria, na mazingira yakaruhusu, kwanini asiwe fundi mzuri?
Kwa mfano, kule katavi na Kigoma, big deal ni mambo ya kupigana vipapai...na kuroga. Wengi wanaamini ili mambo yaende, badala ya kuhangaisha akili zao, lazima wakawaone waganga...ndio maana unaona kuna watu wanatembea mjini ile kazi yao kutoa wachawi. Na hao wachawi wanaowatoa, mara nyingi wanakaa na maskini waliopitiliza tu? Sijasikia zoezi kama hilo City Center au Masaki...lakini ndio uwekezaji wao
Tabora wanachonga milango mizur kuliko Zanzibar door?
Mtoa mada katoa hoja kulingana na watu wanaomzunguka. Nimekaa Dar, nimekaa morogoro, nimekaa Unguja, nimekaa shinyanga, nimekaa Tanga sijawah kuona fundi maeneo hayo katoka kaskazini anayoizungmzia mtoa mada
Epitome beauty binti la kimanyema usituharibie Uzi πMafundi vinyeo wanatoka mkoa gani?
Mkoa wa SodomaMafundi vinyeo wanatoka mkoa gani?