Kaskazini ndio kunaongoza kuwa na mafundi waliobobea

hebu taja shule za kanisa zilizopo mkoa wa Kilimanjaro pengine by year 1990 halafu utuambia ni Asilimia ngapi ya shule za Sekondari kwenye mkoa huo? Pengine itakuwa ni chini ya 10% Hivyo uwekezaji wa kanisa hauna tofauti na mikoa mingine....

kainjiko A na B
 
Prove by data, sbaabz kama hizo biashara ndogondogo wamachinga dio walianza na wengi wao ni watu wa kusini. Pia masuala ya mapishi kuna watu wanapika mkuu! Bahat mbaya sio wachaga. Wachaga ukisema walianza kujaa jwenye elim utaeleweka kuliko kuwapamba kwenye kila kitu kuwa walianza. Hata walioko ulaya wengi sio wao
 
Sio tuuh hao hadi madaktari wa wanyama mfano mmoja mimi apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…