GE2025 Kaskazini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

GE2025 Kaskazini Pemba: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kaskazini Pemba, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Kaskazini Pemba una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (9) ambayo ni:
  1. Gando - Salim Mussa Omar (CCM)
  2. Wete - Amour Seif Abdalla (CCM)
  3. Pandani - Mohamed Khalfan Issa(CCM)
  4. Kojani - Hamad Hassan Chande (CCM)
  5. Mtambwe - Rashid Habib Ali (ACT wazalendo)
  6. Micheweni - Mahesh Shah Aklusha Bolisha (CCM)
  7. Wingwi - Omar issa Kombo (CCM)
  8. Konde - Nassor Rashid Nassor (CCM)
  9. Tumbe - Juma Abdalla Juma (ACT wazalendo)
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > Kaskazini Pemba: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom