Kaskazini tukubali ukweli kuwa Mbowe ameshastaafu na Sasa Chama ni cha Taifa zima, tumpe ushirikiano Tundu Lisu!

Kaskazini tukubali ukweli kuwa Mbowe ameshastaafu na Sasa Chama ni cha Taifa zima, tumpe ushirikiano Tundu Lisu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika

Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha

Mlale unono 😀
 
Napinga!

wachaga wana kitu ambacho labda waislamu tu ndiyo wanacho, chadema bila ya support ya wachaga haiendi popote, nashauri Mbowe aanzishe chama kipya na wala asisite kutafuta support ya wachaga, kwani ni Christians na wako loyal na wameonyesha hivyo.

wachaga wana make nafikiri ~ 10% ya watanzagiza wote hivyo inatosha kabisa kuunda chadema mpya na kuwa strong bila ya sell outs pagans …
 
Ujumbe umfikie pia Erythrocyte , kususa kutuletea nyuzi kuhusu harakati za mwenyekiti kama media tour alizofanya leo sio sawa!
 
Kuna watu mna mentality za ajabu sana. Hakuna mchagga asiependa mabadiliko.

Lema mwenyewe ni mchagga tena jirani kabisa wa Mbowe kule Machame na still amemuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya kuikomboa hii nchi kutoka mikononi mwa madhalimu, majizi, mafisadi ccm.

Hilo bandwagon la kuwa Chadema ni chama cha wachagga ni propaganda tu za majizi ya ccm ili kuwavuruga wanachama wa Chadema wa kanda nyingine.

Sasa sijui bwashee mtatumia gear gani. Soon utasikia Chadema ni chama cha Wanyaturu
 
1737754317127.png
 
Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika

Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha

Mlale unono 😀
Kati ya vitu vya hovyo ni pamoja na hiki kituko ulichoandika hapa.

Tanzania kuna vyama vingap vya Siasa?

Watu wa Kaskazini wapo vyama gani?

Wacheni kuwa inferior kwa mambo yaliyo wazi...

Hao watu mnawapaka matope kila siku na kusingizia kwamba wapo upinzani na hata wakiongoza taasisi mnasema ina ukabila..

Mtupumzishe tafadhali.... Mwenyekiti wa CDM kwa sasa ni Tundu, nadhani propaganda na kuwataja wachagga kwenye kila hila kutapungua
 
Kuna watu mna mentality za ajabu sana. Hakuna mchagga asiependa mabadiliko.

Lema mwenyewe ni mchagga tena jirani kabisa wa Mbowe kule Machame na still amemuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya kuikomboa hii nchi kutoka mikononi mwa madhalimu, majizi, mafisadi ccm.

Hilo bandwagon la kuwa Chadema ni chama cha wachagga ni propaganda tu za majizi ya ccm ili kuwavuruga wanachama wa Chadema wa kanda nyingine.

Sasa sijui bwashee mtatumia gear gani. Soon utasikia Chadema ni chama cha Wanyaturu
Nimeipenda hiyo paragraph ya tatu🤣.
 
Back
Top Bottom